Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

hahaha north korea ambako jamaa anafuta xmass anataka nchi nzima iazimishe siku ya kuzaliwa bibi yake, hicho ndo unaona ni bora akili zako unazijua mwenyewe
 
Biblia ina siri kubwa sana
Umejuaje kama kuna siri...??? Ni siri gani..??

kama huna mwongozo wa ROHO MTAKATIFU huwezi kuelewa kitu.
Kwanini unampa zigo Riho Mtakatifu...?? Biblia ipo wazi tuu....haina siri yoyote....biblia ipo ili umjue Mungu, umtumikie na kisha ufike kwake....Hayo mengine ni yako..

Kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia, mpaka mwezi aliozaliwa MESSIAH,
Sasa wewe uliyeona nimekuomba unipe hiyo tarehe na mwezi....Hebu na sisi tujuze ...wewe si unajua hiyo siri....tujuze..

sema sababu ninyi ni vipofu ndiyo maana hamwoni. Rudia kusoma kwa makini na utulivu huku ukiomba MUNGU akupe akili za kuelewa na akufungue macho utaona kila kitu. Kwa kukusaidia LUKA ameandika kila kitu.

Unashindwa nini kutupa hiyo tarehe....Wacha ubabaisha mjinga wewe...Msabato usiye na akili
 
Son of Gamba, Maelezo hayo hayajitoshelezi kueleza juu ya Costantine,mwandishi anasema kama alivyoandika kwenye kitabu chake. Jua kila mtu awezakuandika atakavyo. Hata mwandishi wa hadithi za sungura na fisi kuongea aweza kurefer Vitabu vyake. Pia naomba kuuliza,unaamini uwepo Wa Mungu Wangapi? Je Mungu ni nini?
 
Do what makes u happy na legal mjomba,mbona unataka fanya maisha ni kama vita?hata kama ni kwel ulichoongea,hii ishakua custome n watu wanapenda,waache,.take life easy
 
Kwani xmass ni nn? Ktk UKRISTO tuanzie hapo,,,, naona mapovu yamewatoka baada ya mtoa mada kupiga pabaya,,, na Kuna uhusiano gani na BABU LENYE MIDEVU NA UKRISTO,, na ni wapi kwenye BIBLIA yesu alukula xmass,,,
 
Hao kinamama wanajifunika hawa kuhusu wanaficha pipi zao ongea ongea mkeo/mamako/dadako wanavaje wanaficha au hawafichi pipi zao?
 
Hata wale wanaovaa hijab na sijui nikabu na kuficha sura kama maninja wanakera kwakweli, yaani joto la Dar au Mtwara unakuta li janamke limejivika madudu meusi mpaka nyayoni. Kuiga kuiga
Hawa wanaovaa hujibu hawakuhusu wanaficha pipi zao ongea mkeo /mamako /dadako wanavaaje wanaficha pipi zao au wanazitembeza wazi
 
Kwani xmass ni nn? Ktk UKRISTO tuanzie hapo,,,, naona mapovu yamewatoka baada ya mtoa mada kupiga pabaya,,, na Kuna uhusiano gani na BABU LENYE MIDEVU NA UKRISTO,, na ni wapi kwenye BIBLIA yesu alukula xmass,,,
Ndugu kamwe hawawezi kujibu hilo. Maana wameacha Neno la Mungu na kukubali kulishwa matango pori. Krisimasi ni desturi za kipagani tangu enzi za babeli hadi rumi. Mfalme Constantine wa kirumi ndiye aliyeleta ushenzi huu kanisani. Kanisa katoliki ni upagani wa kiwango cha juu.
 
Pambana Na Hali yako
 
Kitaja,nachoamini,kila jambo lina malengo,mfano Catholics,walitumia sikukuu ya kipagani iliyokuwa mapokeo ya wakati huo ili kuwapata watu hao na kuwabadili kuwa Wakristu,hiyo haimaanishi wakatoliki ni wapagan,kama vile America ilivyomtumia Hellen G. White kuanzisha kanisa la matazamio "Adventist church" ili kupunguza nguvu ya madhehebu yaliyotoka ulaya,hii haimaanishi kuwa America ni Adventist,ama kama sasa America anavyotanua himaya yake Asia kwa kuitambua Jerusalem,vita itakayofuata Na matokeo yake yatakayopanua Ukristu na kudunisha baadhi ya Imani kwa Asia Na sehemu kubwa ya dunia,hakumanishi America ni Ukristu. Kama ilivyo 1+1 imukiwa sawa Na mbili katika arthymetic Na watu hawakufundishwa kuhoji ndiyo sawa Na elimu za Imani za dini ,watu hawakufunfishwa kuhoji hata huko. Watu wengi wamekuwa waovu sana wakidhani wanatenda mema mbele za Mungu kwa kuwa hodari Wa kuta aina ya maisha waliyoishi watu nyakati za adamu hadi Yesu huku matendo yao yakiwa kinyume kabisa na ustadi wa maneno yao.
 
Tatizo umeshindwa kutofautisha materials yaliotumika kwenye haya mavazi. Angalia vizuri materials utagundua tofauti kubwa japo vazi ni aina moja.
 
Nitakuelewa na kukuunga Mkono kama wewe ni ATR (African Tradition Religion ) na usiwe muislam , mkristo , Buddha , Hindus
 
Kipimo cha kulitambua kanisa la Mungu ni Biblia pekee. Tazama Ufunuo 14:12. Hapa ndipo ulipo msingi wa Seventh Day Asventist Church. Wanashika Amri za Mungu kama zilivyo katika Biblia na Imani ya Yesu Kristo.
 
Ndugu yangu historia ya Emperor Constantine ipo tena hata kanisa Katoliki kwenye "archives" zao kule Vatican City wamehifadhi historia ya huyu mtu. Kila kitu alichokifanya kinajulikana, mimi nimeandika kwa kifupi sana, siwezi kuandika kila kitu. Kwa kifupi tu elewa kwamba Emperor Constantine alikuwa ni "wakala" shetani. Unaelewa alama ya "msalaba" inayotumiwa na Roman Catholic Church ilitoka wapi na nini maana ya maneno yaliyopo kwenye msalaba ule??
Mimi binafsi naamini uwepo wa MUNGU mmoja tu, MUNGU BABA muumba wa mbingu, dunia, nyota, jua, mwezi, sayari zote na kila kitu kilichomo ndani yake. Naamini kuwa BABA MUNGU ndiye aliyeumba kila aina ya "uhai" unayoifahamu wewe. Ningeweza hata kukuandikia Jina lake lakini jina hilo ni TAKATIFU mno kiasi kwamba siwezi kuliandika humu kwenye JF iliyojaa kila aina ya uchafu.
Fahamu tu kwamba Huyo BABA MUNGU ninayemwamini Ndiye BABA ya YESU KRISTO, BWANA NA MWOKOZI WETU.

Lucifer ambaye ndiye shetani na Ibilisi, aliumbwa na BABA MUNGU, lakini huyu Lucifer amekuwa akijifanya na yeye ni mungu kwa kuwadanganya watu ili wamwabudu na kumsujudia. Lucifer amekuwa akiwatokea watu katika namna nyingi, mfano mzuri ni kama alivyomtokea Emperor Constantine na kumpatia nguvu za ajabu. Emperor Constantine alikuwa anamwabudu Mithra ambaye ndiye huyo huyo Lucifer. Huku Africa mababu zetu walikuwa wakiabudu mizimu, ambayo ndiyo hayo hayo mashetani, akina Lucifer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…