well said boss, i lke it!mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........
wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......
mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....
Kwanza najipenda mie kama mie ..najua style zinazofanya nijione nimependeza na kujiamini hata pale nitakapotoka..hivyo basi alinipenda vile ninavyojipenda mwenyewe na siku zote anaridhishwa na uvaaji wangu. kwa vile sasa anajua style zangu hata akiniletea dhawadi zinaendana na vile nipendavyo..
Tunaongea Lugha moja
Hilo la kuongea lugha moja ni muhimu sana katika mahusiano; so big up my dear!
Tukija kwenye mada, hakuna kitu muhimu kama kujiridhisha. Ukiridhika unaweza kufanya mambo mengi sahihi. sasa ukitoka umejivalisha linguo ambalo hujaridhika nalo eti kisa tu husband kapenda uvae, huko utakakoenda hakuna la maana utakalolifanya, cha zaidi utakuwa unajiona kama umefungwa vile. Nakubaliana na kuchaguliwa nguo na husband, ni vizuri nikivaa nguo ambayo anaipenda lakini kwa sharti kwamba na mimi niwe nimeipenda na nimeridhika kuivaa kwa mtoko huo
mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........
wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......
mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...
hapa sijakuelewa mkuuTo be yourself is more important.Jifunze kujipenda wewe kwanza.Na hata wenzi wanapaswa kuwa more understanding kwa vile mwenzie anapenda.Inaruhusiw kumbadilisha mwenzio taratibu taratibu lakini sio lazima.
mkuu chukulia shemeji yetu ana wivu ile mbaya,kila dakika anaota anaibiwa,unadhani atakuchagulia nguo nzuri ya kuvaa?AIBIWE?WANAWAKE WAKUFURAHIE ZAIDI?mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........
wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......
mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...
UMENICHEKESHA SANA DADA YANGU.......Wanaume huwa wanabadilika mnapokuwa kwenye ndoa kuhusu mavazi. Tulivyokuwa marafiki na mpenzi wangu alikuwa hajali kuhusu mavazi.........tena nilikuwa namuuliza ni mavazi gani ungependa niwe nivae lakini alikuwa anajibu we vaa vyovyote unavyojisikia. Na mie nikawa naendelea kuvaa ninavyojisikia na kila nikivaa ananisifia nguo imenipendeza.
Lakini baada ya muda tulivyoingia kwenye ndoa mwenzangu akabadilika, naona anaanza kuguna nikivaa nguo fupi au ikiwa tight na wakati kipindi cha uchumba alikuwa anaona poa na misifa juu yake. Hadi imefikia mahali huwa namwambia ulinikuta navaa hizi nguo iweje leo uanze kunikatalia? Si mavazi yale yale ulinikuta navaa tulivyokutana? Iweje leo uone hayafai!!.........Eti anasema ukiwa mke wa mtu lazima ubadili uvaaji. Ila mie sijakubaliana naye maana napenda kuvaa ile kitu roho yangu inapenda.
UMESEMA VIZURI FIXED POINT,Ila kwa mfano shemeji ana wivu saaaana tu,je huoni kuwa atakuchagulia vazi jeusi usoni gubigubi kama wale waotanguliaga kufunga na kufungua ramadhani?Hilo la kuongea lugha moja ni muhimu sana katika mahusiano; so big up my dear!