Uvae kama apendavyo yeye au kama upendavyo wewe?

na ndo maana tangu mwanzo unatikiwa ujue mwenzi anapenda nini na hapendi nini ili kukwepa msuguano siku za mbeleni, by the way nguo anayokuchagulia kama ni moja kati ya nguo zako ulizo nazo ndani sioni shida, ila kama ndo mnafanya shoping ni lazima kuwa makini hapa maana unawezanunua nguo ambayo huwezi kuivaa tena
 
mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........

wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......

mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...
 
well said boss, i lke it!
 
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....

what do you normally wear? I mean what is YOUR style...
 
Kwanza najipenda mie kama mie ..najua style zinazofanya nijione nimependeza na kujiamini hata pale nitakapotoka..hivyo basi alinipenda vile ninavyojipenda mwenyewe na siku zote anaridhishwa na uvaaji wangu. kwa vile sasa anajua style zangu hata akiniletea dhawadi zinaendana na vile nipendavyo..
Tunaongea Lugha moja

Hilo la kuongea lugha moja ni muhimu sana katika mahusiano; so big up my dear!
Tukija kwenye mada, hakuna kitu muhimu kama kujiridhisha. Ukiridhika unaweza kufanya mambo mengi sahihi. sasa ukitoka umejivalisha linguo ambalo hujaridhika nalo eti kisa tu husband kapenda uvae, huko utakakoenda hakuna la maana utakalolifanya, cha zaidi utakuwa unajiona kama umefungwa vile. Nakubaliana na kuchaguliwa nguo na husband, ni vizuri nikivaa nguo ambayo anaipenda lakini kwa sharti kwamba na mimi niwe nimeipenda na nimeridhika kuivaa kwa mtoko huo
 
kweli kabisa..
muhimu kila mtu avae anachokipenda..
halafu mwisho mjuane vizuri kuhusu nani hapendi
nini na kwa nini....
 
mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........

wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......

mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...

Nadhani hapo kwenye red ndo panakufurahisha Boss, sio kuambiwa ukweli..... kwani akikuambia huku amesimama hutaamini? ha haaaaaaaaaaaaaaa
 
Well I respect her judgement hats off wadau...........mie ni mmoja wa wale ambao wanategemea choice ya wapenzi wao kwa kiasi kikubwa! na kwa mtazamo wangu hajawahi kuniangusha, wardrobe yangu more 70 percent n uchguzi wake kama amabvyo nami abot 45 % ni uchaguzi wangu kwake!:becky:
 
Zungumza na mkeo mufikie mwafaka - na ikiwa tabu vaa atakavyo mkeo. Utakuwa na amani zaidi kumridhisha yeye kuliko kuwaridhisha wengine.
 
......Wanaume huwa wanabadilika mnapokuwa kwenye ndoa kuhusu mavazi. Tulivyokuwa marafiki na mpenzi wangu alikuwa hajali kuhusu mavazi.........tena nilikuwa namuuliza ni mavazi gani ungependa niwe nivae lakini alikuwa anajibu we vaa vyovyote unavyojisikia. Na mie nikawa naendelea kuvaa ninavyojisikia na kila nikivaa ananisifia nguo imenipendeza.

Lakini baada ya muda tulivyoingia kwenye ndoa mwenzangu akabadilika, naona anaanza kuguna nikivaa nguo fupi au ikiwa tight na wakati kipindi cha uchumba alikuwa anaona poa na misifa juu yake. Hadi imefikia mahali huwa namwambia ulinikuta navaa hizi nguo iweje leo uanze kunikatalia? Si mavazi yale yale ulinikuta navaa tulivyokutana? Iweje leo uone hayafai!!.........Eti anasema ukiwa mke wa mtu lazima ubadili uvaaji. Ila mie sijakubaliana naye maana napenda kuvaa ile kitu roho yangu inapenda.
 
To be yourself is more important.Jifunze kujipenda wewe kwanza.Na hata wenzi wanapaswa kuwa more understanding kwa vile mwenzie anapenda.Inaruhusiw kumbadilisha mwenzio taratibu taratibu lakini sio lazima.
hapa sijakuelewa mkuu
 
mimi napenda wangu aniambie ni nguo gani nikivaa hazipendi....
na mimi namwambia zipi sizipendi......kama zipo........

wanaume sisi sometime tuna kuwa tunavaa tunavyovipenda hata kama
vimeshachakaa na muonekano sio mzuri....so bora mwanamke akueleze......

mimi napenda mwanamke anaesema 'hili shati sitaki tena kuliona'
shati gani hilo limechakaa hivyo.....
huku amekukalia mapajani hapo.ha ha ha ha...
mkuu chukulia shemeji yetu ana wivu ile mbaya,kila dakika anaota anaibiwa,unadhani atakuchagulia nguo nzuri ya kuvaa?AIBIWE?WANAWAKE WAKUFURAHIE ZAIDI?
 
......Wanaume huwa wanabadilika mnapokuwa kwenye ndoa kuhusu mavazi. Tulivyokuwa marafiki na mpenzi wangu alikuwa hajali kuhusu mavazi.........tena nilikuwa namuuliza ni mavazi gani ungependa niwe nivae lakini alikuwa anajibu we vaa vyovyote unavyojisikia. Na mie nikawa naendelea kuvaa ninavyojisikia na kila nikivaa ananisifia nguo imenipendeza.

Lakini baada ya muda tulivyoingia kwenye ndoa mwenzangu akabadilika, naona anaanza kuguna nikivaa nguo fupi au ikiwa tight na wakati kipindi cha uchumba alikuwa anaona poa na misifa juu yake. Hadi imefikia mahali huwa namwambia ulinikuta navaa hizi nguo iweje leo uanze kunikatalia? Si mavazi yale yale ulinikuta navaa tulivyokutana? Iweje leo uone hayafai!!.........Eti anasema ukiwa mke wa mtu lazima ubadili uvaaji. Ila mie sijakubaliana naye maana napenda kuvaa ile kitu roho yangu inapenda.
UMENICHEKESHA SANA DADA YANGU.
Ndoa uchumba na urafiki ni madaraja tofauti......... nitasema baadae,ila kwa sasa unaonaje mumeo aendelee kuvaa zile nguo za kicheck bob?ikiwezekana na ule mvao wa suruali wa staili ya kata K?
 
Hilo la kuongea lugha moja ni muhimu sana katika mahusiano; so big up my dear!
Tukija kwenye mada, hakuna kitu muhimu kama kujiridhisha. Ukiridhika unaweza kufanya mambo mengi sahihi. sasa ukitoka umejivalisha linguo ambalo hujaridhika nalo eti kisa tu husband kapenda uvae, huko utakakoenda hakuna la maana utakalolifanya, cha zaidi utakuwa unajiona kama umefungwa vile. Nakubaliana na kuchaguliwa nguo na husband, ni vizuri nikivaa nguo ambayo anaipenda lakini kwa sharti kwamba na mimi niwe nimeipenda na nimeridhika kuivaa kwa mtoko huo
UMESEMA VIZURI FIXED POINT,Ila kwa mfano shemeji ana wivu saaaana tu,je huoni kuwa atakuchagulia vazi jeusi usoni gubigubi kama wale waotanguliaga kufunga na kufungua ramadhani?
 
Back
Top Bottom