Uvamizi mkubwa wa kimtandao umefanyika kwenye kampuni ya mtandao wa kijamii wa X

felakuti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
659
Reaction score
1,207
Wakuu mambo si mambo..

Watu na wadau wakubwa wa mtandao wa X zamani Twitter, tumepata shambulizi ambalo hata Elon Musk anakiri hajawahi kupata ama kuona shambulizi kubwa kama Hilo la kimtandao

Wadau wa X tunalia wenye tuliokua na wafuasi zaidi ya elfu 10, wengine elfu 20 wengine laki, laki 5,, tunafungua tunakuta una 0 followers [emoji24] , watafanyaje kurudisha hao followers wote...

This is disastrous...

Tunabubujikwa ...
 
Eloni kasemaje
 
Nikajua kengine kumbe unalilia followers?!
 
Watashindwaje kurudisha wakati database ipo? Si wanarestore tu?
 
This was just DDOS.

Musk mwenyewe kachemka hajaweka some servers behind Cloudflare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…