Uvamizi mkubwa wa kimtandao umefanyika kwenye kampuni ya mtandao wa kijamii wa X

Uvamizi mkubwa wa kimtandao umefanyika kwenye kampuni ya mtandao wa kijamii wa X

Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.
Sio yeye tu Jana BBC nasikia na wale wa fedha mtandao wanalalamikia Korea imechota fedha na unataka ziingiza kwenye mzunguko wa fedha wa kawaida
 
Oh I see brother..how long do you think it will take to resolve the situation in scenarios like DDOS
DDOS ni jambo ambalo unatakiwa ujiandae nalo kabla halijatokea.

Kimsingi DDOS si hack, ni computers/IP address nyingi sana kuuelemea mtandao wako kwa wakati mmoja kwa nia ya kufanya uelemewe mpaka usipatikane.

Mkakati wa kujiandaa kabla ni pamoja na kujiunga na mitandao kama ya Cloudflare au Verisign, halafu wao wanachuja yraffic yote inay9kuja kwako kihakikisha ni yraffic halali na si ya watu wanaotaka kukuelemea.

Ukichelewa na kupatwa na DDOS, kujinasua ni kazi sana, itakubidi ku restart services (disruption) na kuanza kupambana na hizo attacks polepole mpaka wenyewe washindwe kuendelea kuku attack.
 
Kwa hiyo uhai wenu wa maisha umepunguaaa

Ova
 
It is the beginning of the beginning.....
Amefukuza wataalamu wote ili kusevu hela, matokeo yake ndio haya....
Na pia hela imepotea

1741728124810.png
 
Mara nyingi wale APT hackers huwa wanapiga DDoS kama cover...
Huku wakikusanya taarifa za watumiaji....
Mara unasikia wanatishia kuzianika Darkweb......
 
Back
Top Bottom