Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mkuu sasa hii DDOs?! Tuoneeni huruma wanaJF wa Itigi, Mbauda na Nyarugusu.This was just DDOS.
Musk mwenyewe kachemka hajaweka some servers behind Cloudflare.
Dah mkuu sasa hii DDOs?! Tuoneeni huruma wanaJF wa Itigi, Mbauda na Nyarugusu.
N de A
Kwa wafanya biashara ama ma activists Ina umuhimu kwao,, kwa mfanya biashara ni bingo mana una uhakika ukiweka bidhaa yako au kutangaza biashara yako unawafikia watu wengi kwa wakati mmojaKwani Folloaz wana umuhimu gani mkuu?
So ww ni nani hapoKengine ni kiswahili Gani ...kwenye ulimwengu wa kidigitali kwa businessmen and influential people knows the importance of trafficked followers
Wazee wa cbery wamekaa kitako naye..Haha 😂 😂 😆 😆 mzee wa Tesla wameamua kumshika kario
Hehehe!!!Mungu hatumii mtandao wa x
CcWakuu mambo si mambo..
Watu na wadau wakubwa wa mtandao wa X zamani Twitter, tumepata shambulizi ambalo hata Elon Musk anakiri hajawahi kupata ama kuona shambulizi kubwa kama Hilo la kimtandao
Wadau wa X tunalia wenye tuliokua na wafuasi zaidi ya elfu 10, wengine elfu 20 wengine laki, laki 5,, tunafungua tunakuta una 0 followers [emoji24] , watafanyaje kurudisha hao followers wote...
This is disastrous...
Tunabubujikwa ...
Ngoja BODI ya LIGI ijeWakuu mambo si mambo..
Watu na wadau wakubwa wa mtandao wa X zamani Twitter, tumepata shambulizi ambalo hata Elon Musk anakiri hajawahi kupata ama kuona shambulizi kubwa kama Hilo la kimtandao
Wadau wa X tunalia wenye tuliokua na wafuasi zaidi ya elfu 10, wengine elfu 20 wengine laki, laki 5,, tunafungua tunakuta una 0 followers [emoji24] , watafanyaje kurudisha hao followers wote...
This is disastrous...
Tunabubujikwa ...
Hana lolote ni janja janja tu mwenye hela nyingi.Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.
Ana pesa ya kuwalipa geniuses kumfanyia kazi.Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.