Uvamizi mkubwa wa kimtandao umefanyika kwenye kampuni ya mtandao wa kijamii wa X

Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.
 
Kwani Folloaz wana umuhimu gani mkuu?
Kwa wafanya biashara ama ma activists Ina umuhimu kwao,, kwa mfanya biashara ni bingo mana una uhakika ukiweka bidhaa yako au kutangaza biashara yako unawafikia watu wengi kwa wakati mmoja
Kwa ma activitists kama unavyojua wanahitaji kua na followers wengi kuwasilisha hoja zao walizozikusudia kwa jamii
 
Cc
Ronaldo
 
Ngoja BODI ya LIGI ije
 
Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.
Hana lolote ni janja janja tu mwenye hela nyingi.

N de A
 
This was just DDOS.

Musk mwenyewe kachemka hajaweka some servers behind Cloudflare.
Oh I see brother..how long do you think it will take to resolve the situation in scenarios like DDOS
 
Kama Elon Musk hajatengeneza huu mchezo yeye mwenyewe kwa sababu binafsi basi Elon Musk atakuwa yuko overrated sana kwenye uwezo wa kiteknolojia.
Jamaa sio smart wala intelligent kihivyo kwa namna anayozungumziwa na watu, bali mjanja mjanja sana.
Ana pesa ya kuwalipa geniuses kumfanyia kazi.

Anadai wameanza kutrace kujua wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…