Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Unaambiwa kabla ya kuanza mashabulizi mapema lei asubuhi, defence system za Israel zilijam ndipo mvua ya roketi zikaanza kurundima katika nchi ya Israel.
Israel Inasemekana walikuwa kwenye marekebisho ya rada na mitambo yao mbalimbali ya setelite. Kwani ubalazi wa marekani tanzania na kenya sababu ilikuwa ni hiyo :::siku unapoamua kusafisha. Bunduki ya nyumbani ndo majambazi yanapaokujia