UVCCM andaeni maandamano kwenda ofisi za UN , kwakuingilia mambo ya ndani suala la Ngorongoro!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo.
Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania.

Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na mafanikio ya The Royal Tour ya mama Samia.

UVCCM msikae kimya, enzi zetu za DUSO na TYL swala hili halikulaziwa damu.
We were proudly Tanzanians.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]HAWA WANASUBIRI TEUZI TU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nikukumbushe tu, hao UN ndio wale kwenye bajeti yenu kila mstari kuna maneno ya kuwapongeza mnawaita "nchi wahisani"

Hivyo kabla hujawashauri hao wajinga wenzio, mjue kwanza wapi mtapeleka yale mabakuli yenu kama hao "wahisani" watakasirika.
 

This is a human rights issue. Kusema kwamba UN inaingilia mambo yetu ya ndani ni hoja ya kizembe sana. Huwezi kuwalamba risasi wanao na mkeo kisha ukaiambia Serikali isiingilie; hayo ni mambo yenu ya ndani.
 
Uvccm hawana tofauti na wale wadada wa kona bar au wale wauza nyama kimboka....yani ni wadangaji wanaosubiria tukio wajitokeze,angalia mwenyekiti wao bonge wa tapeli na jambawazi
 
 
Nikukumbushe tu, hao UN ndio wale kwenye bajeti yenu kila mstari kuna maneno ya kuwapongeza mnawaita "nchi wahisani"

Hivyo kabla hujawashauri hao wajinga wenzio, mjue kwanza wapi mtapeleka yale mabakuli yenu kama hao "wahisani" watakasirika.
Wewe ndo mjinga wa kutupwa.
UN kichaka cha wapinga maendeleo ya Tanzania, kama hulielewi hilo basi ni pole tu.
 
Acheni kunyanyasa wamasai kwa ajili ya kumpa eneo mwarabu,pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…