Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukumbushe tu, hao UN ndio wale kwenye bajeti yenu kila mstari kuna maneno ya kuwapongeza mnawaita "nchi wahisani"
Hivyo kabla hujawashauri hao wajinga wenzio, mjue kwanza wapi mtapeleka yale mabakuli yenu kama hao "wahisani" watakasirika.
M23 inafyeka watu kama nyasi Kule Kongo umewaskia UN?This is a human rights issue. Kusema kwamba UN inaingilia mambo yetu ya ndani ni hoja ya kizembe sana. Huwezi kuwalamba risasi wanao na mkeo kisha ukaiambia Serikali isiingilie; hayo ni mambo yenu ya ndani.