Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Jun 16, 2022 #21 Big Head with no brain is weight to the neck🤔
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Jun 18, 2022 Thread starter #22 UVCCM hamna maana, Wamasai wamewazidi ujanja na wameandamana hadi ubalozi wa Kenya. Chongolo anazunguka mikoani tu wakati haya mambo current yanampita. Siasa ni pressure group na ujanja.
UVCCM hamna maana, Wamasai wamewazidi ujanja na wameandamana hadi ubalozi wa Kenya. Chongolo anazunguka mikoani tu wakati haya mambo current yanampita. Siasa ni pressure group na ujanja.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jun 18, 2022 #23 Vile serikali huwa inajibu linapokuja suala la wamasai😁😁😁 Your browser is not able to display this video.
Vile serikali huwa inajibu linapokuja suala la wamasai😁😁😁 Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 18, 2022 #24 Ngoja tuone...
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jun 18, 2022 #25 '…bajeti yenu…' kama Wewe huhusiki na bajeti ya Nchi maana yake huhusiki na Nchi…na mama huhusiki na nchi basi na ya Ngorongoro hayakuhusu denooJ said: Nikukumbushe tu, hao UN ndio wale kwenye bajeti yenu kila mstari kuna maneno ya kuwapongeza mnawaita "nchi wahisani" Hivyo kabla hujawashauri hao wajinga wenzio, mjue kwanza wapi mtapeleka yale mabakuli yenu kama hao "wahisani" watakasirika. Click to expand...
'…bajeti yenu…' kama Wewe huhusiki na bajeti ya Nchi maana yake huhusiki na Nchi…na mama huhusiki na nchi basi na ya Ngorongoro hayakuhusu denooJ said: Nikukumbushe tu, hao UN ndio wale kwenye bajeti yenu kila mstari kuna maneno ya kuwapongeza mnawaita "nchi wahisani" Hivyo kabla hujawashauri hao wajinga wenzio, mjue kwanza wapi mtapeleka yale mabakuli yenu kama hao "wahisani" watakasirika. Click to expand...
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jun 18, 2022 #26 Pulchra Animo said: This is a human rights issue. Kusema kwamba UN inaingilia mambo yetu ya ndani ni hoja ya kizembe sana. Huwezi kuwalamba risasi wanao na mkeo kisha ukaiambia Serikali isiingilie; hayo ni mambo yenu ya ndani. Click to expand... M23 inafyeka watu kama nyasi Kule Kongo umewaskia UN? Islamic state wanachinja watu kule Pemba Msumbiji umewaskia UN? ina maana kuhamisha Wamasai Ngorongoro kuwapeleka Handeni ni ukatili kuliko wa Tigrey Kule Ethiopia kwa kina Ahmed Abe?
Pulchra Animo said: This is a human rights issue. Kusema kwamba UN inaingilia mambo yetu ya ndani ni hoja ya kizembe sana. Huwezi kuwalamba risasi wanao na mkeo kisha ukaiambia Serikali isiingilie; hayo ni mambo yenu ya ndani. Click to expand... M23 inafyeka watu kama nyasi Kule Kongo umewaskia UN? Islamic state wanachinja watu kule Pemba Msumbiji umewaskia UN? ina maana kuhamisha Wamasai Ngorongoro kuwapeleka Handeni ni ukatili kuliko wa Tigrey Kule Ethiopia kwa kina Ahmed Abe?