Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mjini Babati umefanya matembezi maalum katika viunga vya mji huo, wakimpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na mingine katika kila kata, wilaya, na mkoa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wake.
Matembezi hayo yaliongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM mjini Babati, Magdalena Uronu, ambaye amewataka vijana kuendelea kumuunga mkono Rais Samia kwa kuwa amefanya mambo muhimu katika Jimbo hilo kwenye kila sekta.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa wanapokaribia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu vijana kuonyesha mshikamano na kuendeleza uungwaji mkono kwa serikali inayoendelea kutekeleza maendeleo kwa vitendo.