PreGE2025 UVCCM Dar watoa msimamo kuhusu Gwajima, wataka akamatwe akaisaidie polisi kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.

Msimamo huo umetolewa siku ya Jumanne na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhani, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa vijana wa chama hicho hawapo tayari kumuona Gwajima akijitokeza tena kugombea kupitia tiketi ya CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

UVCCM imemtuhumu Gwajima kwa kuwa na msimamo wa kupinga Serikali na chama kwa kujificha, huku akiendelea kunufaika kisiasa kupitia CCM. Wamedai ni wakati wa kila mwanachama kuamua wazi yuko upande upi badala ya kushambulia taasisi kutoka ndani.

Apigwe nduli Gwajima! (Tuitikie wote) apigweeee!
 
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.

Msimamo huo umetolewa siku ya Jumanne na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhani, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa vijana wa chama hicho hawapo tayari kumuona Gwajima akijitokeza tena kugombea kupitia tiketi ya CCM.

UVCCM imemtuhumu Gwajima kwa kuwa na msimamo wa kupinga Serikali na chama kwa kujificha, huku akiendelea kunufaika kisiasa kupitia CCM. Wamedai ni wakati wa kila mwanachama kuamua wazi yuko upande upi badala ya kushambulia taasisi kutoka ndani.
Uvccm ndio daraja kuu ambalo mafisadi wa nchi hii hulitumia kupitisha ajenda zao hakuna uzalendo ndani ya uvccm
 
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.

Msimamo huo umetolewa siku ya Jumanne na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhani, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa vijana wa chama hicho hawapo tayari kumuona Gwajima akijitokeza tena kugombea kupitia tiketi ya CCM.

UVCCM imemtuhumu Gwajima kwa kuwa na msimamo wa kupinga Serikali na chama kwa kujificha, huku akiendelea kunufaika kisiasa kupitia CCM. Wamedai ni wakati wa kila mwanachama kuamua wazi yuko upande upi badala ya kushambulia taasisi kutoka ndani.
Kikao kimekaa au amekurupuka tu; ni vijana wasiofikiria.

Vv
 
Sikutegemea hii nchi itaharibika kwa kiwango hiki kilichopitiliza,Kuna mfugaji mmoja kafananisha na China,hapa kwetu hata pin yenyewe kutengeneza ni shida.China imekata masoko yote ya Africa kwa bidhaa.Halafu bongo ina viwanda vya maneno na Chawa kuzidi China.Halafu ndio wanataka kiongozi wao afananishwe na China.Naomba nipewe nafasi ya kulia siku nzima
 
Lia tu mkuu maana hamna namna nyingine!
 
Kwani gwaji boy alikua hajui hilo
Gwajima,playboy as per Makonda na video ya mrembo,Gwajima mpenda mikakati ya dira za maendeleo ya miaka 50.,Gwajima baba Askofu,Gwajima mnyonge wa Furaha kakimbia mechi kali.
 
Back
Top Bottom