Uvccm ndio daraja kuu ambalo mafisadi wa nchi hii hulitumia kupitisha ajenda zao hakuna uzalendo ndani ya uvccmJumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.
Msimamo huo umetolewa siku ya Jumanne na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhani, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa vijana wa chama hicho hawapo tayari kumuona Gwajima akijitokeza tena kugombea kupitia tiketi ya CCM.
UVCCM imemtuhumu Gwajima kwa kuwa na msimamo wa kupinga Serikali na chama kwa kujificha, huku akiendelea kunufaika kisiasa kupitia CCM. Wamedai ni wakati wa kila mwanachama kuamua wazi yuko upande upi badala ya kushambulia taasisi kutoka ndani.
Kikao kimekaa au amekurupuka tu; ni vijana wasiofikiria.Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam imetoa wito mzito kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kutofika katika ofisi yoyote ya CCM ndani ya mkoa huo kuchukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mwaka 2025.
Msimamo huo umetolewa siku ya Jumanne na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhani, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa vijana wa chama hicho hawapo tayari kumuona Gwajima akijitokeza tena kugombea kupitia tiketi ya CCM.
UVCCM imemtuhumu Gwajima kwa kuwa na msimamo wa kupinga Serikali na chama kwa kujificha, huku akiendelea kunufaika kisiasa kupitia CCM. Wamedai ni wakati wa kila mwanachama kuamua wazi yuko upande upi badala ya kushambulia taasisi kutoka ndani.
Michawa ya nguo chafuKikao kimekaa au amekurupuka tu; ni vijana wasiofikiria.
Vv
Njaa itakuua, nenda kalime!Apigwe nduli Gwajima! (Tuitikie wote) apigweeee!
Lia tu mkuu maana hamna namna nyingine!Sikutegemea hii nchi itaharibika kwa kiwango hiki kilichopitiliza,Kuna mfugaji mmoja kafananisha na China,hapa kwetu hata pin yenyewe kutengeneza ni shida.China imekata masoko yote ya Africa kwa bidhaa.Halafu bongo ina viwanda vya maneno na Chawa kuzidi China.Halafu ndio wanataka kiongozi wao afananishwe na China.Naomba nipewe nafasi ya kulia siku nzima
Huna lolote mnafiki mkubwa wewe.Apigwe nduli Gwajima! (Tuitikie wote) apigweeee!
Gwajima,playboy as per Makonda na video ya mrembo,Gwajima mpenda mikakati ya dira za maendeleo ya miaka 50.,Gwajima baba Askofu,Gwajima mnyonge wa Furaha kakimbia mechi kali.Kwani gwaji boy alikua hajui hilo
Apigwe nduli Gwajima! (Tuitikie wote) apigweeee!
Apigwe Idd Amini Mama apigwe,na atupwe mto Ruvu🤣🤣🤣Apigwe nduli Gwajima! (Tuitikie wote) apigweeee!