PreGE2025 UVCCM Dar watoa msimamo kuhusu Gwajima, wataka akamatwe akaisaidie polisi kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kosa la Gwajima ni lipi? Nchi hii ina vijana wa hovyo sana na wenye mchango mdogo sana kwenye maendeleo ya Nchi hii

Bahati nzuri Gwajima alisema wazi kwamba wenye akili wataelewa ujumbe wake.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni ajabu na kweli,

Kuwa Simba huwa haogopi hata risasi, akiisikia ndio kwanza anakuja.
 
😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
Mwisho wa kunukuu...🀣
 
Wewe mtoto mdogo ukabiliane na Askofu Gwajima????
Hata mtoto wake Lucy humuwezi.
Wewe ndo umetumwa.
 
Kwa sasa kansa inayoitafuna taifa hili ni CCM. CCM kinatakiwa kipigwe vita kama alivyopigwa vita mkoloni.
 
Mtu anazungumzia utekeji na usalama mdogo,halafu mtu mwingine anakuja na hoja eti,huyu Gwaji boy hakupita kwenye kula za maoni? Reasoning ndani ya nchi yetu imeshuka sana aiseee
Vilaza ndio wamejazana kwenye mamlaka huko na ndio matatizo ya kuingiza wajinga siasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…