Hii ndio taarifa yao .naiweka kama ilivyo pasipo kuweka neno langu hata moja wala nukta.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma umelaani vikali matukio yote ya utekaji na uhalifu yanayoendelea kujitokeza nchini, ikiwemo kuuawa kwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mzee Ally Kibao.
Wakizungumza leo 09 Septemba, 2024 Jijini Dodoma Umoja huo kupitia kwa Mwenyekiti wake Abdulhabib Mwanyemba amesema matukio hayo yanahatarisha Amani na Utulivu na kuutaka Umma kukemea vitendo hivyo bila kuchoka.
"hivi karibuni yametokea matukio ya kikatili yanayoogofya kwa jamii, tunakemea sana, ni jambo la aibu, hatufurahii na hatuwezi kutetea vitu kama hivyo"
LUca iwapo hawajakemea zile kauli za hamasa za matendo hayo hata miongoni mwa makobredi wenzao yoootee waliyosema yatakosa maana,na yatakuwa hayamaanishi kile wasemacho.Hivyo Nakuomba zilete na kauli zao za kupinga wale ambao ni miongoni mwao na wanachochea chuki,uhasama na matendo maovu kwa manufaa ya upande wanao ushabikia

hamna hata haya hayawani wakubwa nyie mnalia machozi ya mamba kama kawaida yenu msibani mmekaa siti za mbele mkijiliza kwa uchungu wa uongo anyway nanyi pia mtakufa vilevile na kwa kuwa mtakuwa hamjatubu basi kuzimu mtaingia vizuri sana
Tuko kwa ajili ya maslahi ya nchi na chama chetu.....
Baba wa taifa alituasa juu ya maadui 3....UJINGA.....
Haya ni matukio yaliyoanza na ujinga na sasa yamejukuu vibaya zaidi.....
Kama "analyst" i smell something fishing ,a havoc that should be stopped by reasonable and zealout sons of the beloved nation.
I concur with my compatriots that we as a nation sailing on the same boat ,any harm to one's of us will have a detrimental sequalea to all of us!