carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Umoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea kuwa si sahihi.
Aidha, amesema vijana wanampenda na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dada zao, akisisitiza kuwa kutoridhishwa kwao kunatokana na mwenendo wa shemeji yao Mchengerwa.
Chanzo : Chief Odemba