carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Ule wa kumvua unaitwaje? Shemeji kazingua atawauliza kwa hio km kazingua nyinyi mnatakaje mimi ndio nimemtuma aseme hivyo nyie mnatakaje?Upendo gani huo? Wa agape, erus, mania au ludus?
Umoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea kuwa si sahihi.
Aidha, amesema vijana wanampenda na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dada zao, akisisitiza kuwa kutoridhishwa kwao kunatokana na mwenendo wa shemeji yao Mchengerwa.
Chanzo : Chief Odemba
Ule ni Eros.Ule wa kumvua unaitwaje? Shemeji kazingua atawauliza kwa hio km kazingua nyinyi mnatakaje mimi ndio nimemtuma aseme hivyo nyie mnatakaje?
Futuhiiiiii ndiyo ni FUTUHI.Umoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea kuwa si sahihi.
Aidha, amesema vijana wanampenda na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dada zao, akisisitiza kuwa kutoridhishwa kwao kunatokana na mwenendo wa shemeji yao Mchengerwa.
Chanzo : Chief Odemba
Umoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea kuwa si sahihi.
Aidha, amesema vijana wanampenda na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dada zao, akisisitiza kuwa kutoridhishwa kwao kunatokana na mwenendo wa shemeji yao Mchengerwa.
Chanzo : Chief Odemba
Hizo drama tu za kuchangamsha mitandao..
Shemeji yao kazingua au kasema ukweli mchungu
Haya matoto ya panya yanachobishia nini. Panya baba mla rushwa, pia bibi, babu watoto hadi vijukuu hukoUmoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea kuwa si sahihi.
Aidha, amesema vijana wanampenda na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dada zao, akisisitiza kuwa kutoridhishwa kwao kunatokana na mwenendo wa shemeji yao Mchengerwa.
Chanzo : Chief Odemba
Mbona povu hivyo, kisu kimegusa mfupaUmoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii.