UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

DIUNATION

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,591
Reaction score
1,719
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonesha watu kama hawa kuwa Mwenyekiti wa chama na Rais wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
 
1625395825676.png
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ. Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake. Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Kwanza wewe upo kundi lipi Kati ya manne, nikimanisha

CCM HURU
CCM KINDAKINDAKI
CCM LIMBUKENI
CCM MASLAHI

Nakuuliza KWA maana sio wanaccm wote hawajitambui, mfano Wana ccm HURU,

SIKIA UVCCM aliekua mwenyekiti wenu , KWA Sasa kawa Dc, alisikika adhalani akitamka kumpiga sindano ya kumdhuru Mh Tundu lissu nanyi mkashangilia na kupiga makofi,Sasa kauli ya Mdude na ya elikua mwenyekiti wenu ipi ni mbaya, MPAKA kudemka namna hii.

Nakubali SSH rais ni kiongozi WETU wa TAIFA kwa Sasa, ila bado hakiwezi leta ualali kwamba ni muhim kuliko binadam yoyote NDANI ya nchi hii, sie sote ni sawa mbele za Mungu, na ni mwajiriwa wa wananchi japo ni kiongozi mkuu wa TAIFA

Acheni upambe isiokua na afya KWA TAIFA , nguvu hii ungetumia mwambia Mwenyekiti wako kwamba MCHAKATO WA KATIBA UENDELEE , ingekua umefanya Jambo la maana Sana KWA vizazi vyako vijavyo kuliko shabikia Mambo mepesi ,
 
Sasa nimegundua kwanini vijana toka upinzani wanakuja ccm na kupewa vyeo. Uvcc badala ya kudeal na mambo ya maana, mnadeal na mpinzani aliyejitolea umaarufu kwa kuonewa.

Nilitarajia uvccm mngetumia nguvu yenu kutaka kujua ni nani waliojiunganishia bomba la mafuta, na hatua zichukuliwe. Kuna 24b zimepigwa kwenye halmashauri ya jiji hapa Dar na hakuna hatua, uvccm mko tu. Huyo Mdude ameshakuwa maarufu, hata Mkitaka na nyie kujipatia umaarufu kwake mtazidi kumpaisha tu, na akisema ajiunge ccm ataingia na cheo atapewa, atawaacha nyie mkipiga Majungu na ushirikina tu.
 
OK kakosea ni kweli!

Je, Rais mwenyewe akitoa maneno yasiyo na staha tunamuwajibisha vipi?

Maana kuna watu waliambiwa wabaki na mavi yao nyumbani.
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ. Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake. Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Kama kweli anaamini uhuru wa mahakama,,vile vile lazima aamini uhuru wa kujieleza,,,sio lazima wote tuwaze utakavyo wewe,,,kila mtu ana uhuru wa kuwaza na kujieleza kwa kadri Mungu alivyo mjalia utashi wake,,,by the way rais sio Mungu,,,hata wewe pengine jamii inayo kuzunguka inakuona hufai kabisa,,ni kwa vile tyu huzungumziwi kwa sababu hufahamiki compared to mdude,,,by the way you might not understand ,the pains and feelings of mdude,wewe kaitetee familia yako kisha tulia,,mwache mdude with what he believe
 
Kwanza wewe upo kundi lipi Kati ya manne, nikimanisha

CCM HURU
CCM KINDAKINDAKI
CCM LIMBUKENI
CCM MASLAHI

Nakuuliza KWA maana sio wanaccm wote hawajitambui, mfano Wana ccm HURU,

SIKIA UVCCM aliekua mwenyekiti wenu , KWA Sasa kawa Dc, alisikika adhalani akitamka kumpiga sindano ya kumdhuru Mh Tundu lissu nanyi mkashangilia na kupiga makofi,Sasa kauli ya Mdude na ya elikua mwenyekiti wenu ipi ni mbaya, MPAKA kudemka namna hii.

Nakubali SSH rais ni kiongozi WETU wa TAIFA kwa Sasa, ila bado hakiwezi leta ualali kwamba ni muhim kuliko binadam yoyote NDANI ya nchi hii, sie sote ni sawa mbele za Mungu, na ni mwajiriwa wa wananchi japo ni kiongozi mkuu wa TAIFA

Acheni upambe isiokua na afya KWA TAIFA , nguvu hii ungetumia mwambia Mwenyekiti wako kwamba MCHAKATO WA KATIBA UENDELEE , ingekua umefanya Jambo la maana Sana KWA vizazi vyako vijavyo kuliko shabikia Mambo mepesi ,
Niko kundi moja na baba yako
 
Kama kweli anaamini uhuru wa mahakama,,vile vile lazima aamini uhuru wa kujieleza,,,sio lazima wote tuwaze utakavyo wewe,,,kila mtu ana uhuru wa kuwaza na kujieleza kwa kadri Mungu alivyo mjalia utashi wake,,,by the way rais sio Mungu,,,hata wewe pengine jamii inayo kuzunguka inakuona hufai kabisa,,ni kwa vile tyu huzungumziwi kwa sababu hufahamiki compared to mdude,,,by the way you might not understand ,the pains and feelings of mdude,wewe kaitetee familia yako kisha tulia,,mwache mdude with what he believe
Kuna sehemu nimesema raisi ni mungu. Shwaini wewe
 
OK kakosea ni kweli..!

Je Rais mwenyewe akitoa maneno yasiyo na staha tunamuwajibisha vipi??

Maana kuna watu waliambiwa wabaki na mavi yao nyumbani...
Akitoa future tense. Kumbe hajatoa
 
Back
Top Bottom