UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

Kama kweli anaamini uhuru wa mahakama,,vile vile lazima aamini uhuru wa kujieleza,,,sio lazima wote tuwaze utakavyo wewe,,,kila mtu ana uhuru wa kuwaza na kujieleza kwa kadri Mungu alivyo mjalia utashi wake,,,by the way rais sio Mungu,,,hata wewe pengine jamii inayo kuzunguka inakuona hufai kabisa,,ni kwa vile tyu huzungumziwi kwa sababu hufahamiki compared to mdude,,,by the way you might not understand ,the pains and feelings of mdude,wewe kaitetee familia yako kisha tulia,,mwache mdude with what he believe
Mchocheeni ila akumbuke kama kufungwa atafungwa peke yake. Wewe utakuwa unalala nyumbani wakati yeye anakumbatiana na kunguni.
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ.

Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Kwahiyo huwa mnaingilia uhuru wa mahakama ?
 
Mchocheeni ila akumbuke kama kufungwa atafungwa peke yake. Wewe utakuwa unalala nyumbani wakati yeye anakumbatiana na kunguni.

Hivi yule wa kutuliza mat.acle mlimpa hata ushauri kweli?

Double standards hizi mbona sawa?
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ.

Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Pathetic.
 
Sasa nimegundua kwanini vijana toka upinzani wanakuja ccm na kupewa vyeo. Uvcc badala ya kudeal na mambo ya maana, mnadeal na mpinzani aliyejitolea umaarufu kwa kuonewa.

Nilitarajia uvccm mngetumia nguvu yenu kutaka kujua ni nani waliojiunganishia bomba la mafuta, na hatua zichukuliwe. Kuna 24b zimepigwa kwenye halmashauri ya jiji hapa Dar na hakuna hatua, uvccm mko tu. Huyo Mdude ameshakuwa maarufu, hata Mkitaka na nyie kujipatia umaarufu kwake mtazidi kumpaisha tu, na akisema ajiunge ccm ataingia na cheo atapewa, atawaacha nyie mkipiga Majungu na ushirikina tu.
mdude ana umaarufu? Upi?
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ.

Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Kwa hiyo unaitangazia dunia kuwa mahakama za Tanzania haziko huru na zinafanya kazi kwa maelekezo ya Rais.
 
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TZ.

Niseme wazi kama mama Samiah angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika uhuru wa mahakama aliamua ifanye kazi yake.

Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM kuwaonyesha watu kama hawa kua mwenyekiti wa chama na raisi wa nchi hawezi kudhalilishwa kirahisi namna hii na vijana kukaa kimya.
Ila ninyi mnavomwita Delila ni sawa???
 
We ni kenge,hivi Kuna maneno ya kuudhi yanayoweza kuleta umaskini au kuua mtu?
Wale kenge wenzio wa ccm wanaotaka walipwe kwa viwango na dola kama mabunge ya nchi zingine,hayo si matusi ya nguoni kwa watanzania,mtu anasema millioni 12,haitoshi?!hayo Si matusi ya nguoni
 
Sio taasisi ya Urais tu haipaswi kutukanwa hata wananchi wa Nchi hii Kama alivyo Mdude hawapaswi kutukanwa na kudhalilisha katika nchi yake,mkiacha kutenda haki kwa mtaendelea kutukanwa tu na utapata heshima inayostahili na sivinginevyo
 
Mnataka haki za kutukana
 
We ni kenge,hivi Kuna maneno ya kuudhi yanayoweza kuleta umaskini au kuua mtu?
Wale kenge wenzio wa ccm wanaotaka walipwe kwa viwango na dola kama mabunge ya nchi zingine,hayo si matusi ya nguoni kwa watanzania,mtu anasema millioni 12,haitoshi?!hayo Si matusi ya nguoni
Mimi kenge dume na baba yako kenge jike
 
Back
Top Bottom