UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

UVCCM chini ya kheri James ilikuwa imejaa matusi utazani wanaongelea mashimo yakutolewa mavi sio midomo
 

Hapo vipi?


Agenda ile ile kumfarakanisha Mama kwa lolote hata kama ni la kijinga:



Oneni japo aibu basi?
 
SASA WEKA NA USHAURI WAFANYE NINI AU MUFANYE NINI?.

MDUDE YEYE KAWEKA YA KWAKE KUWA MAMA AKIZINGUA ATAMNYOA KWA WEMBE ULEULE ALIOMNYOLEA SHUJAA.
 
OK kakosea ni kweli..!

Je Rais mwenyewe akitoa maneno yasiyo na staha tunamuwajibisha vipi??

Maana kuna watu waliambiwa wabaki na mavi yao nyumbani...

Hapa vipi?



Kunyoa kwa wembe ule ule ni maneno ya kawaida kwa mahasimu kisiasa na hata michezoni.
 
Kuna sehemu nimesema raisi ni mungu. Shwaini wewe
Kusema kwamba mwenyekiti wa chama hadhalilishwi hovyo ilhali unayemtaja naye katoa mawazo yake na roho inakuuma ,,ni dhahiri unataka tumpe hadhi ya uungu,,,mwache kila mtu aseme anavyoamini,,,angalia nchi kama south africa watu walivyo na uhuru wa kumzungumzia rais wao...we ni mbuzi huna lolote mwoga kama ni mbwa koko,,,yaani neno ,,,,wembe na kunyolewa linakutoa mapovu utadhani unakataa roho,,,
 
Sio kila kitu ni cha kuiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…