UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

Mchocheeni ila akumbuke kama kufungwa atafungwa peke yake. Wewe utakuwa unalala nyumbani wakati yeye anakumbatiana na kunguni.
 
Kwahiyo huwa mnaingilia uhuru wa mahakama ?
 
Mchocheeni ila akumbuke kama kufungwa atafungwa peke yake. Wewe utakuwa unalala nyumbani wakati yeye anakumbatiana na kunguni.

Hivi yule wa kutuliza mat.acle mlimpa hata ushauri kweli?

Double standards hizi mbona sawa?
 
Pathetic.
 
mdude ana umaarufu? Upi?
 
Kwa hiyo unaitangazia dunia kuwa mahakama za Tanzania haziko huru na zinafanya kazi kwa maelekezo ya Rais.
 
Ila ninyi mnavomwita Delila ni sawa???
 
We ni kenge,hivi Kuna maneno ya kuudhi yanayoweza kuleta umaskini au kuua mtu?
Wale kenge wenzio wa ccm wanaotaka walipwe kwa viwango na dola kama mabunge ya nchi zingine,hayo si matusi ya nguoni kwa watanzania,mtu anasema millioni 12,haitoshi?!hayo Si matusi ya nguoni
 
Sio taasisi ya Urais tu haipaswi kutukanwa hata wananchi wa Nchi hii Kama alivyo Mdude hawapaswi kutukanwa na kudhalilisha katika nchi yake,mkiacha kutenda haki kwa mtaendelea kutukanwa tu na utapata heshima inayostahili na sivinginevyo
 
Mnataka haki za kutukana
 
Mimi kenge dume na baba yako kenge jike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…