Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo.
Soma, Pia: Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Morogoro Vaileth Soka amesema lengo la Kongamano hilo kujadili fursa mbalimbali mkoani humo ambapo wameaalika vijana wa kikundi Cha Walimu wasio na ajira (NETO) kwenda kuhudhuria kongamano hilo.