Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya ubaguzi na uchochozi tu!
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza Seth Masalu katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la mission wilayani Sengerema mkoani Mwanza jana 20/6/2024.
UVCCM siyo tu kwamba ni reflection ya chawa nchini lakini pia imejaa vijana wa hovyo!
Lakini pamoja na yote hayo CHADEMA, ACT na vyama vingine vya upinzani mmelala, kazi kulalamika tu! Sasa mnatofauti gani na hawa wapuuzi wengine?
Over to you Chawa wa Mama na nyuki wa Mbowe.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza Seth Masalu katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la mission wilayani Sengerema mkoani Mwanza jana 20/6/2024.
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Nyamagana, Peter Begga amesema angekuwa Waziri wa Tehama angeifungia Mitandao ya kijamii ya Instagram na X
Lakini pamoja na yote hayo CHADEMA, ACT na vyama vingine vya upinzani mmelala, kazi kulalamika tu! Sasa mnatofauti gani na hawa wapuuzi wengine?
Over to you Chawa wa Mama na nyuki wa Mbowe.