Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya ubaguzi na uchochozi tu!
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza Seth Masalu katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la mission wilayani Sengerema mkoani Mwanza jana 20/6/2024.
Your browser is not able to display this video.
UVCCM siyo tu kwamba ni reflection ya chawa nchini lakini pia imejaa vijana wa hovyo!
Hii si kauli sahihi kabisa. Ndani ya CCM wapo wengi tu wenye sifa za kugombea na kuwa Rais. Sifa zinazoainishwa kwenye Katiba na Sheria za Uchaguzi zina ugumu au upekee gani hadi wengine wasiwe nazo? Kuwa mtanzania?? Kuwa na miaka 40?? Kuwa na sifa za kuwa Mbunge?? Kudhaminiwa na chama cha siasa??
Kinachopangwa kufanyika huko CCM mwaka 2025 ni utamaduni zaidi kuliko katiba, sheria na kanuni. Ni kumpa nafasi Rais Samia aongoze kwa mihula miwili. Huo utamaduni usigeuzwe kichaka cha dharau, kebehi na majigambo yasiyo na maana.
Hata nje ya CCM kuna watanzania kwa mamilioni wanaoweza kuwa Rais. Tutajionea mwaka 2025. Hivi, kwanini nguvu kubwa kiasi hiki inatumika kuutetea utamaduni ndani ya CCM?
Haha vijana wamekosa hekima na busara, wafundishwe maneno yakuzungumza kwenye hadhara, hilo ni tusi kwa mzungumzaji mwenyewe kajitukana na ni tusi pia kwa huyo anayetajwa mwenye sifa exceptional.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya ubaguzi na uchochozi tu!
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza Seth Masalu katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la mission wilayani Sengerema mkoani Mwanza jana 20/6/2024.
Kama wameona hakuna anayefaa kuwa Rais zaidi ya mhe Samia 2025 je mwaka 2030 atatokea wapi atakayefaa ??!
Maana wenye kihere here cha kuutaka URAIS watakuwa ni wale wale 🙄🤠