UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana

Hiyo mil 80 unakuta watu zaidi ya 300 uvccm walikuwa wanaitolea macho 🤣
 
Umekuja kuwatetea wenzako hahaha ,
 
inawezekana wanasiasa wa Africa wana mtaa wao maalumu jehanamu
 
Bajaj moja unafahamu inauzwa shilingi ngapi? Tuanzie hapo kwanza, alafu tutaendelea kupiga hesabu vizuri.

Unaanza kusema haitoshi kununua, hapo hapo unasema bajaji moja ingeingiza elfu 5,000?
 
Bajaj moja unafahamu inauzwa shilingi ngapi? Tuanzie hapo kwanza, alafu tutaendelea kupiga hesabu vizuri.

Unaanza kusema haitoshi kununua, hapo hapo unasema bajaji moja ingeingiza elfu 5,000?
Hoja yangu Kuu sio bei ya bajaj wala bajaji inaingiza shilingi ngapi, bali hili ni Bandiko la mwendelezo wa fitna na majungu ya ndani ya CCM. Kama limekabidhiwa Takukuru, tusubirie matokeo ya uchaguzi.
P
 
Tuache mambo ya fitna, tujadili utaratibu uliotumika kuipata pesa mpaka kufikia hatua ya kuipiga....ukiuliza hiyo Ml. 10 ilipoenda hawana majibu.
 
Tuache mambo ya fitna, tujadili utaratibu uliotumika kuipata pesa mpaka kufikia hatua ya kuipiga....ukiuliza hiyo Ml. 10 ilipoenda hawana majibu.
Kama fedha zilizotolewa ni milioni 80, halafu fedha zilizo tumika ni milioni 70, hiyo milioni 10 ni just 12%, hivyo kwenye project appraisal, loss ya up to 15% ni negligible!.

Umeweka bonge la headline

UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana!,​

Mtu ukisoma utadhani ni ma milioni meengi?, kumbe ni just a sensesional heading, pesa iliyogawanwa ni just 10 milioni, hiyo milioni 10 ndio mamilioni?. Tena walikuwa watu wawili wakagawana milioni 5 each!, hayo ndio mamilioni?!. Naendelea kusisitiza humu, msituletee fitna na majungu ya vita vya uongozi CCM.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…