UVCCM noma | BAVICHA Chukueni hii

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
===
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,

Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa muda mfupi ujao,

BAVICHA|Ngome ya Vijana|UVIC na wengine kama kunajambo la kujifunza toka kwa Crde Kenani Kihongosi na UVCCM basi ni hili la kuwajengea uwezo wa kiuchumi Vijana wenu ili waweze kuboresha familia zao,

<< Msikilize Crde Kenani Kihongosi >>

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu kijana anamipango mizuri sana, Tunataka aina hii ya maono toka kwa viongozi,
 
Upumbavu mtupu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu kijana ni hazina kubwa sana katika taifa hili! Mungu azidi kumlinda!
 
Hu

Huyo motivational speaker anafurahisha tu genge hapo. Mtoe kwenye madaraka mwambie akatekeleze hizo porojo hapo uone sasa. Utashangaa anashinda kwa waganga asitolewe kwenye madaraka, lakini anashauri wengine watumie fursa! Stuka epuka matapeli.
 
Kuwa wengi hakuondoi ukweli kuwa ni kundi la wajinga. Hata kibwetere alichoma watu wengi kwenye dhehebu lake. Kama kweli anaamini kwenye kupandisha watu kwenye fursa, atoke akajiajiri Aachie hiyo nafasi kwa wengine.
Kweli hao watu wote niwapumbafu?
CHADEMA akili ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…