mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Hata ccm imekuwaga na mipango mingi mizuri tangu uhuru lakini isiyotekelezekaHuyu kijana anamipango mizuri sana, Tunataka aina hii ya maono toka kwa viongozi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ccm imekuwaga na mipango mingi mizuri tangu uhuru lakini isiyotekelezekaHuyu kijana anamipango mizuri sana, Tunataka aina hii ya maono toka kwa viongozi,
Mimi ni mwanzilishi wa CCM Kadi namba 67. Mmeingia CCM mazuzu wa kutisha mkaiua CCM kwa Azimio ka Zanzibar . Endeleeni kujidanganya na marehemu CCM. Mnapumulia vyombo vya dola.Mkuu lala, Usiku mwema CHADEMA ilishakufa njoo CCM
Kenani jembe===
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,
Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa muda mfupi ujao,
BAVICHA|Ngome ya Vijana|UVIC na wengine kama kunajambo la kujifunza toka kwa Crde Kenani Kihongosi na UVCCM basi ni hili la kuwajengea uwezo wa kiuchumi Vijana wenu ili waweze kuboresha familia zao,
<< Msikilize Crde Kenani Kihongosi >>
View attachment 2025918