Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Tindo huwa nacheka sana Comment zako, Uko salama lakini mkuu?Hu
Huyo motivational speaker anafurahisha tu genge hapo. Mtoe kwenye madaraka mwambie akatekeleze hizo porojo hapo uone sasa. Utashangaa anashinda kwa waganga asitolewe kwenye madaraka, lakini anashauri wengine watumie fursa! Stuka epuka matapeli.
Eti kuwatandika wanafunzi na wazee ndiyo mataga wanaita maonoHuyu ndiye alikuwa anawatandika wanafunzi na watu wazima viboko mkoani Arusha ?
Poa Mkuu tuendelea kumuunga mkono Mama anafanya wonders,Niko poa kinoma, tena na hizi mvua mambo ni mswano.
Umenikumbusha mikutani ya vyama vya upinzsni na ugaidiMiongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,
Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM kuwa matajiri wakubwa muda mfupi ujao,
BAVICHA|Ngome ya Vijana|UVIC na wengine kama kunajambo la kujifunza toka kwa Crde Kenani Kihongosi na UVCCM basi ni hili la kuwajengea uwezo wa kiuchumi Vijana wetu.
View attachment 2025918
Poa Mkuu tuendelea kumuunga mkono Mama anafanya wonders,Niko poa kinoma, tena na hizi mvua mambo ni mswano.
Nakuelewa vizuri sanaHuyu kijana anamipango mizuri sana, Tunataka aina hii ya maono toka kwa viongozi,
Mkuu tuendelea kumuunga mkono Mama anafanya wonders,
Nakuelewa vizuri sana
Wewe katika umri wako huo hujakutana na mgao wa umeme Tanzania?Mama anafanya wonders zipi boss? Hizi za kukatika kwa umeme na kubambikia watu kesi?
Imefanya nini?Umenikumbusha mikutani ya vyama vya upinzsni na ugaidi
Intelejensia huwa inasema kunakuwa na viashiria vya ugaidi,haha, ili wasifanye hiyo mikutanoImefanya nini?
katika umri wako huo hujakutana na mgao wa umeme Tanzania?
CHAMA MAITI….wakiwa peke yao wataruka ruka kama hivi.CCM CHAMA
Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa,
Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM kuwa matajiri wakubwa muda mfupi ujao,
BAVICHA|Ngome ya Vijana|UVIC na wengine kama kunajambo la kujifunza toka kwa Crde Kenani Kihongosi na UVCCM basi ni hili la kuwajengea uwezo wa kiuchumi Vijana wetu.
View attachment 2025918
CHADEMA mnateseka sana, CCM hii sio saizi yenu,Upuuzi kiwango cha PhD. Kajifunze wewe.
Ni kweli siyo saizi yetu kwa sababu saizi yenu nyinyi ni vyoo vya Lumumba na kikosi cha akina Siro na Kingai eti wasiojulikana.CHADEMA mnateseka sana, CCM hii sio saizi yenu,
Mkuu lala, Usiku mwema CHADEMA ilishakufa njoo CCMNi kweli siyo saizi yetu kwa sababu saizi yenu nyinyi ni vyoo vya Lumumba na kikosi cha akina Siro na Kingai eti wasiojulikana.
Hata wewe ni mpigaji tuWapigaji tu
UVCCM imepata jembe sana,Huyu kijana anamipango mizuri sana, Tunataka aina hii ya maono toka kwa viongozi,