Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hicho ni chama kiongozi, kinakubali kujisahihisha na kushauriana sio yule mfalme wenu ukiwa na mawazo mbadala utaitwa msaliti tu.Hadi ccm mmeanza kuisoma namba
Walikuwa wapi wakati hoja ilipopelekwa bungeni?Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
2019 walivuruga uchaguzi.Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Huenda mmoja wa wajumbe ameonja joto ya jiwe si bureBaraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Watu wanastrugle kuunga unga hata kwa hizo kamisheni baada ya kupigwa na mdororo wa shuguli kutokana na Covid lakini hawa wanaolipwa mabilioni wao ni kuongea chohote wanachojisikia.Huku mitaani ni malalamiko mtindo mmoja.
Sidhani kama Rais anajisikia vyema kuongoza nchi ambayo Raia wake wanalalamika tu.
Samia bunge limemuuza ili akiue chama . Ila 2025 mama atafute kazi nyingineBaraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Ccm imewai kujisahihisha nini?.yenyewe ndio inayoongoza hii nchi toka uhuru kwahiyo maovyo ovyo yote ya nchi hii yanabaraka zake sasa ni lini kilirekebisha lolote walilolianzisha wenyewe.mabadiliko yote ni matokeo ya wananchi wenyewe tuliona hata kwenye swala la fao lakujitoa viongozi wote wa ccm walikua wanatetea ule uamuzi hadi kelele za wadau kua nyingi ndo wakajifanya kurekebisha ata hili wananchi wakikaa kimya ndo imetoka hiyo.acha kujitoa ufahamu.Hicho ni chama kiongozi, kinakubali kujisahihisha na kushauriana sio yule mfalme wenu ukiwa na mawazo mbadala utaitwa msaliti tu.