mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,084
Kwa hiyo wewe kwenye maisha yako mwenyewe umefanya kila kitu proper?Ccm imewai kujisahihisha nini?.yenyewe ndio inayoongoza hii nchi toka uhuru kwahiyo maovyo ovyo yote ya nchi hii yanabaraka zake sasa ni lini kilirekebisha lolote walilolianzisha wenyewe.mabadiliko yote ni matokeo ya wananchi wenyewe tuliona hata kwenye swala la fao lakujitoa viongozi wote wa ccm walikua wanatetea ule uamuzi hadi kelele za wadau kua nyingi ndo wakajifanya kurekebisha ata hili wananchi wakikaa kimya ndo imetoka hiyo.acha kujitoa ufahamu.