UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

Kwa hiyo wewe kwenye maisha yako mwenyewe umefanya kila kitu proper?
 
Vijana;Uwasilishaji wenu hauna nidhamu kwa Rais "MNAMTAKA?"hamkuishia hapo MNAAGIZA.
Hizo lugha mngetumia kwa mbunge wenu
 
Ambieni wabunge wenu siyo rais,
 

Hawa vijana ni wa ajabu sana badala wawatetee wanufaika wa heslb ili VRF iondolewe kabisa bila masharti wenyewe wanazungumzia tozo za simu ambayo ni maendeleo ya nchi
 
Hawa UVCCM ndio wakewake wanafiki wakubwa.
Hatukuwasikia wakinyanyua mdomo wakati TRA Task Force wana terrorise wananchi.
Wakae kimya na kusubiri gawio la ruzuku.
Hakafu sijui wanafikiri SGR na Stigkaz Power itajengwa na magwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…