UVCCM tusikae kimya

Vijana jeuri ya Chama. Tafadhali tusikae kimya katika hili la Bandari Maana wapinzani wanapotosha kupitiliza.
Tatizo hakuna anae waamini na nyie , baadhinya viongozi wenu wanatoa kauli tata na za hivyo, uvccm sasahiv mnaonekana nothing but chawa, hampiki viongozi tena. Mjitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…