Pre GE2025 UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uvccm hakuna wajinga mkuu, bali wapumbavu.Na Mwalimu Nyerere kasha wahi sema hivi kuhusu wapumbavu.
"Huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu wake"
 
Hivi huyo mwenyekiti alichaguliwa kwa vigezo vipi? Mbona inaonekana ni bogus sana 🥱
 
Mtu mjinga hapendi kusikiliza mawazo ya mwenzake ambayo yapo kinyume na yake, kiufupi wapumbavu hawapendi kupingwa


Wanazuga lakini tunajua ni mambo ya upinzani tu
Mwamposa naye anataka X ifutwe…. Yuko kundi gani
 
Mange kawazidi ujanja, wakimfungia Instagram, anapeleka X. Wazime data zao, waifungie X kwani iko chini ya TCRA?
 
Back
Top Bottom