Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Jun 13, 2024 #41 Uvccm hakuna wajinga mkuu, bali wapumbavu.Na Mwalimu Nyerere kasha wahi sema hivi kuhusu wapumbavu. "Huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu wake"
Uvccm hakuna wajinga mkuu, bali wapumbavu.Na Mwalimu Nyerere kasha wahi sema hivi kuhusu wapumbavu. "Huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu wake"
Nedd Ludd Senior Member Joined May 16, 2023 Posts 143 Reaction score 257 Jun 13, 2024 #42 Hivi huyo mwenyekiti alichaguliwa kwa vigezo vipi? Mbona inaonekana ni bogus sana 🥱
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 3,338 Reaction score 6,327 Jun 13, 2024 #43 Mtoto umleavyo............
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Jun 13, 2024 #44 Mr mutuu said: Mtu mjinga hapendi kusikiliza mawazo ya mwenzake ambayo yapo kinyume na yake, kiufupi wapumbavu hawapendi kupingwa Wanazuga lakini tunajua ni mambo ya upinzani tu Click to expand... Mwamposa naye anataka X ifutwe…. Yuko kundi gani
Mr mutuu said: Mtu mjinga hapendi kusikiliza mawazo ya mwenzake ambayo yapo kinyume na yake, kiufupi wapumbavu hawapendi kupingwa Wanazuga lakini tunajua ni mambo ya upinzani tu Click to expand... Mwamposa naye anataka X ifutwe…. Yuko kundi gani
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Jun 13, 2024 #45 Nedd Ludd said: Hivi huyo mwenyekiti alichaguliwa kwa vigezo vipi? Mbona inaonekana ni bogus sana 🥱 Click to expand... Nani? Baba ndubwi?
Nedd Ludd said: Hivi huyo mwenyekiti alichaguliwa kwa vigezo vipi? Mbona inaonekana ni bogus sana 🥱 Click to expand... Nani? Baba ndubwi?
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Jun 13, 2024 #46 Mange kawazidi ujanja, wakimfungia Instagram, anapeleka X. Wazime data zao, waifungie X kwani iko chini ya TCRA?
Mange kawazidi ujanja, wakimfungia Instagram, anapeleka X. Wazime data zao, waifungie X kwani iko chini ya TCRA?
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Jun 13, 2024 #47 mysteryman said: Muache shekhe wetu bwana, sasa we unafikiri mambo ya mchezo haya. . . . .hahaha Click to expand... Nyama Nyama za allah SHEKHE
mysteryman said: Muache shekhe wetu bwana, sasa we unafikiri mambo ya mchezo haya. . . . .hahaha Click to expand... Nyama Nyama za allah SHEKHE
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Jun 13, 2024 #48 uvccm mmeyatimba
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 18, 2024 #49 Matrix19 said: Huo sio umoja wa vijana wa CCM( UVCCM) Bali ni umoja wa vichaa wa CCM. Click to expand...
Matrix19 said: Huo sio umoja wa vijana wa CCM( UVCCM) Bali ni umoja wa vichaa wa CCM. Click to expand...