UVCCM wamemtishia nini Anthony Diallo?

...wakati alitamka bayana based on past experience
...huenda labda ilikuwa ni future past tense
 
Sisi kazi yetu ni kwenda pale Milembe tukalitafute lile Jarada. Diallo kasema ukweli wasimtishe, kiongozi wa UVCCM kazaliwa Jana, Diallo ni mkongwe umri Sawa na Jiwe, amekaa na jiwe ukanda huo mda mrefu anamjua nje ndani.
Mkuu nami nitakusindikiza huko milembe tukalete hilo file
 
Hata kama! Tunachojua sisi ni kuwa kile alichokisema awali kipo sahihi na hatubadili msimamo wetu wa kuamini hilo! Nchi iliongozwa na psychopath, lunatic, kichaa kabisa, tunashukuru kwa kazi ya Mungu iliyotangazwa rasmi March 17 2021 ingawaje mimi binafsi nafahamu alikufa 8days before!
 
Alisema kwamba jamaa alikuwa mwendawazimu
Rais anawaambia wananchi wabaki na mavi yao majumbani mwao wasichafue vyoo vya serikali, mpaka hapo hujaona huyu mwendawazimu tu?
 
Mzee Diallo anaogopa kuuliwa maana hawa vichaa wa uvccm ni wauaji
 
Aaahh...wapii..ukimgusaa pjm unanuka ww..jpm kaacha alama kubwaa kwa watz waadilifu..lakin pia kaacha vidondaa vikubwaa sana kwa watz wezi...wapuuzi..wala rushwaa..wenye vyeti fake...na wajinga kama kina BAK
Kaacha pia na alama za mauwaji kwenye mwili wa Lisu
 
Watu wanaongea mengi sana, ila kwa nchi ya kijamaa kama yakwetu hakuna mfanyabiashara mwenye ubavu wa kupambana na CCM akabak salama, lessen ns approval kibao yani......

Nafikiri alisahau CCM ni ile ile... ndio maana wanasema wanataka Katiba mpya sasa nawaelewa sana yani
 
We count on him from now onwards...

........
 
Uzuri maneno ni kama risasi! Hayana rivasi! Keshatoa ukweli wake wa moy, katapika nyongo yote na sasa ana nafuu kubwa. KAJITIBU!

Yajayo yote ni story tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni kutapika Nyongo wakati huo huo unataka uendelee kukalia kiti cha enzi ndani ya Chama,hapo ndipo panamgharimu zaidi.

2022 nafasi ya yeye kuchaguliwa ndani ya Chama ndiyo haipo tena,usishangae kumuona sasa hivi anakuwa kituko zaidi kwa kujieleza tena,angekaa kimya tu na kukubali matokeo ya kutapika Nyongo yake.
 
Huyu anaelekea njia ya Membe, watamfukuza làbda Samia apotezee lkn pressure ya wahafidhina sidhani kama atai- resist

Tayari CCM Mkoa wamemwashia moto,safari ya kuelekea kwa Membe ipo wazi kabisa.Utashangaa hata kina JK watamgeuka na hatoamini.
 
Sasa kama ameshasema nchi ilikuwa inaongozwa na kichaa aliyetaka kuihamishia mbuga ya serengeti kijijini kwake anaomba radhi kitu gain wakati watz wote kasoro walinda legacy tumemuelewa
 
Hajatishwa ila kakubali yaishe, ndiyo busara na uungwana...
 

yeye ndiye anajua maana ya alichosema,amekanusha wewe hutaki.

nikisema ungana naye unaona nakuonea.hajatishwa maana magufuli wa kufanya hayo amefariki.
 
nimekuuliza file la mirembe litabadilika?jibu acha upumbavu. wapumbavu ni nyinyi mlioteua mgombea mwehu

na baba yako na mama yako ni wapumbavu pia,maana walimchagua.

shida iko kwako sijui laana umetoa wapi!!
 
yeye ndiye anajua maana ya alichosema,amekanusha wewe hutaki.

nikisema ungana naye unaona nakuonea.hajatishwa maana magufuli wa kufanya hayo amefariki.

Ni sawa na mtu aseme jua linatokea mashariki kwenda magharibi, kisha atishiwe usalama wake aseme hakuaminisha jua linatokea mashariki. Ukweli alishausema, hivi sasa anachofanya ni kuwatuliza msije mkamng'oa kucha fullstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…