UVCCM wamuonya Anthony Diallo

Taharuki taharuki kila mahali...Kila mtu sasa hivi ni sauti ya nne...
 
ni vema ukajibu nilivyokuuliza

soma katikakati ya mistari...ni daktari anayeweza kuthibitisha fulani ni kichaa... kupitia report ya daktari ndio tunaweza kuthibitisha hilo....umeshawahi kuiona hiyo report ya daktari?.....
 
Kwani kule Ukerewe/Ramadi alisemaJe mwenyewe ?!. Ndiyo maana nikawaletea waziri kichaa kichaa kama Mimi. jingalao hukumsikia ?! . Sasa tatizo la Dialo ni nini !!

After kazungumzia ulinzi wa misifa nayo unaisemeaJe ?!.
Hata ccm kuna majizi na mafisadi alisikika Magufuli
 
Basi wewe tutakukumbuka kwa kutuandikia "zahabu" badala ya "dhahabu". Alikuwepo bibi mmoja kwa jina la FaizaFoxy Alikuwa anapenda kuuliza shule ulienda kusomea ujinga?🤣🤣 Nimemkumbuka sana na majibu yake.
 
Miaka yote 20 ya ubunge wake si alikua akipigiwa kura za maoni tena anashinda kwa kishindo inakuaje leo nyinyi watoto wadogo muone hakufanya chochote cha kukumbukwa kweli mbona mnakosa nidham kwa mzee dialo tena akiwa mwenyekiti wa chama mkoa tulizeni masabuli yenu shenzy typ
 
Sasa huyu vyeti feki anafanya nini kwenye safu ya juu ya viongozi wa ccm. Ni mjinga na fisadi mkubwa. Ni masalia ya wale viongozi fisadi waliyokua wamemiliki ccm enzi za awamu ya nne. Hata huo uenyekiti wa ccm wa mkoa anashikilia tu kwa jinsi alivyonunua wajumbe.
 
Timu magufuli mareheme mmeshikwa kunako na mwana ccm mkongwe zaid ya marehemu na ninyi mikia yake. Kama alikuwa hafai ni hafai tu wala sio siri hatuwezi kuitukuza maiti iliyo litesa taifa kwa miaka mitano
 
Timu marehemu 😈😈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…