Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ccm vipande vipande .Khenan Diallo si saizi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm vipande vipande .Khenan Diallo si saizi yako.
hivi katika aliyoongea kuna lolote la uongo ?Diallo ni mfukuza upepo ambaye maslahi yake yaliguswa na JPM....sasa anataka huruma dunia imsikie kama naye yupo..Hapa ndio namuumgaga mkono JPM kwa kunyooosha hizi pumbavu...
hivi katika aliyoongea kuna lolote la uongo ?
ni vema ukajibu nilivyokuulizaalikuwa wapi siku zote?, kwanini alimpigia kampeni mwenye faili mirembe...? hilo faili liko wapi?....Unamjua Dialo ni nani?...
Unafaahamu maana ya reritement?Magufuli siyo kiongozi mstaafu, Magufuli ni kiongozi aliyekufa.
ni vema ukajibu nilivyokuuliza
Kwani kule Ukerewe/Ramadi alisemaJe mwenyewe ?!. Ndiyo maana nikawaletea waziri kichaa kichaa kama Mimi. jingalao hukumsikia ?! . Sasa tatizo la Dialo ni nini !!Mafisadi wasipewe fursa ya kuichafua CCM
"reritement" hatufahamu maana yake ila tunafahamu maana ya retirement..!Unafaahamu maana ya reritement?
Basi wewe tutakukumbuka kwa kutuandikia "zahabu" badala ya "dhahabu". Alikuwepo bibi mmoja kwa jina la FaizaFoxy Alikuwa anapenda kuuliza shule ulienda kusomea ujinga?🤣🤣 Nimemkumbuka sana na majibu yake.Wakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
Miaka yote 20 ya ubunge wake si alikua akipigiwa kura za maoni tena anashinda kwa kishindo inakuaje leo nyinyi watoto wadogo muone hakufanya chochote cha kukumbukwa kweli mbona mnakosa nidham kwa mzee dialo tena akiwa mwenyekiti wa chama mkoa tulizeni masabuli yenu shenzy typWakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
Sasa huyu vyeti feki anafanya nini kwenye safu ya juu ya viongozi wa ccm. Ni mjinga na fisadi mkubwa. Ni masalia ya wale viongozi fisadi waliyokua wamemiliki ccm enzi za awamu ya nne. Hata huo uenyekiti wa ccm wa mkoa anashikilia tu kwa jinsi alivyonunua wajumbe.Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe wa kamati kuu.
===
CCM imelaani kauli ya kubeza viongozi wastaafu iliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo katika mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha televisheni nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Julai 10, 2021 na katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama hicho (UVCCM), Kenani Kihongosi katika kikao cha majumuisho ya ziara ya kuimarisha chama inayofanywa na sekretarieti ya chama hicho ikiongozwa na katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.
Kihongosi amesema kauli iliyotolewa na kiongozi huyo ni msimamo wake mwenyewe na si wa CCM na kwamba jumuiya ya vijana inalaani kauli zinazotolewa na kiongozi huyo kuwabeza viongozi walioitumikia nchi, akitaka wastaafu hao kuachwa wapumzike.
"Tangu leo asubuhi tumeona ujumbe ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikinukuu kauli iliyotolewa na mmoja na kiongozi ambaye anaingia kwenye vikao vya maamuzi lakini leo ameamua kutoa kauli hii ambayo imetuchukiza sana vijana kwani tulitegemea wawe wa kwanza kutuongoza, " amesema.
Kihongozi amesema kiongozi huyo wa CCM ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa amenukuliwa akisema viongozi wengine wanaoteuliwa na CCM wanapaswa kuwa hospitali ya magonjwa ya akili ya Mirembe iliyopo mkoani Dodoma.
MWANANCHI
Avuliwe nafasi zote za uongozi ndani ya Chama.
Timu magufuli mareheme mmeshikwa kunako na mwana ccm mkongwe zaid ya marehemu na ninyi mikia yake. Kama alikuwa hafai ni hafai tu wala sio siri hatuwezi kuitukuza maiti iliyo litesa taifa kwa miaka mitanoWakakimbia alafu kiwanda bora kabisa Afrika cha kufua zahabu kikajengwa, nchi ikaingia uchumi wa kati , mabilionea kama akina Laizer wakaibuka, mapato ya ccm yakatoka million 5 yakafikia billioni 20 kwa mwaka!
Tunamuonya Diallo yeye amekuwa mbunge na waziri kwa miaka 20 lakini hakuna wananchi wanachomkumbuka nacho ni kama tu hajawahi kuwa kiongozi
Timu marehemu 😈😈Sasa huyu vyeti feki anafanya nini kwenye safu ya juu ya viongozi wa ccm. Ni mjinga na fisadi mkubwa. Ni masalia ya wale viongozi fisadi waliyokua wamemiliki ccm enzi za awamu ya nne. Hata huo uenyekiti wa ccm wa mkoa anashikilia tu kwa jinsi alivyonunua wajumbe.