UVCCM wamuonya Anthony Diallo

UVCCM wamuonya Anthony Diallo

Ni limtu la ajabu ajabu kama mamtu mengine tu

Kaongea hayo kwa kutanguliza maslahi yake binafsi, alizoea dezo kwa kutokulipa kodi au kulipa finyu sana kwenye biashara zake akitumia mgongo wa uenyekt CCM Mkoa

Alipoingia Jpm aliweka clear kabisa ktk kikao na watendaji wa juu wa Chama na viongozi wa mkoa kwamba ktk Serikali yake anataka kila mwananchi mfanyabiashara alipe kodi uwe ni mwanaCCM, Chadema, Cuf, Act au usiye na chama LIPA KODI kwa maendeleo ya Taifa, sasa wako kina Diallo wakajua 'business as usual' ila spana ilipozidi kukazwa ndio wakaanza kumchukia JPM

Jpm aliposhika madaraka ya Chama kakuta baadhi ya viongozi wa chama wamegeuza miradi mbalimbali ya chama kama mali zao, wamehujumu mali za chama, mapato ya chama nk. Sasa alipoanza kulala nao mbele ndio baadhi waliozoea dhulma wakaanza kujenga chuki kama hawa kina Diallo
 
... Mwanza kupewa upendeleo fulani haiondoi ukweli wa aliyoyasema Dr. Anthony Diallo (PhD). Hakuongea yale akiwa kwenye political rallies, wala hakuongea kutafuta fadhila hivyo tuna kila sababu ya kuamini alichosema mzalendo na msomi yule!

In fact kwangu kwa kauli yake ile ameisaidia regime iliyopita. Hatuna sababu ya kuilaumu tena kwa sababu at least tumeelewa kiini cha tatizo; tulikuwa tunaongozwa na akili ya namna gani! Badala yake tuhurumie na kusamehe!

Ametimiza kwa vitendo kabisa ahadi za chama, "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"; Diallo ni wa kupongezwa sio wa kulaumiwa. Hata walioumizwa kwa namna moja au nyingine utawala uliopita tuwaombe wasamehe na kusahau yaliyopita; haikuwa akili ya kawaida. Tundu Lissu baba samehe; ulipishana na mwendawazimu barabarani kabeba panga Mungu akakupigania.
 
Dialo lazima afunguke, Sababu sarakasi alizofanyiwa kunyanganywa hiyo media empire yake sio za kawaida.
 
Huyo Mzee ana PHD au ndio kama zile style za Prof. Maji Marefu??
 
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.

Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.

Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?

Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
Kifupi Diallo anawaambia CCM.... "I don't give a hoot about CCM and you can do whatever your ass wants to do, goddamn it!"
 
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.

Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.

Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?

Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
Jamani, hivi kwa Mwanza kuna cha nini cha pekee kilichofanyika wakati wa awamu ya 5?
 
Kwa hiyo hayo yanafuta mtu kuwa na faili Milembe? Ama yanafanya tahadhali aliyoitoa ya kutochagua vichaa kutokuwa na maana? Nyie ndio mnaofanyia tumbo. Tumbo lako likijaa, basi masilahi ya Taifa hayana maan tena!
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita yapo mengi ya kujivunia yaliyofanywa na Serikali ya CCM.

Ulikuwepo upendeleo maalumu wa kuinua uchumi wa Mwanza.

Sasa iweje mwenyekiti wa CCM Mwanza asione yote hayo na badala yake akaongelea mbinyo wa kodi?

Kisiasa hii inamaanisha mwenyekiti huyo aliwadanganya wanamwanza katika kuinadi ilani ya CCM mwaka 2020 hivyo inambidi awajibike.
 
Watu kama wewe mtoa mada ndio diallo anawasema,kwa hiyo unaona hiyo miradi ya upendeleo Magufuli aliyokiwa anapeleka Mwanza ndio uthibitisho wa uzindiki na roho mbaya aliyokiw a Magufuli

Kiongozi wa Nchi unawagawa watu kwa misingi ya kuwa walikupigia kura za undungu.
 
Hi I nchi kweli kuendelea nishida
Hadi vichaa wanapewa urais
TISS ifumuliwe tu
 
Back
Top Bottom