tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Ni limtu la ajabu ajabu kama mamtu mengine tu
Kaongea hayo kwa kutanguliza maslahi yake binafsi, alizoea dezo kwa kutokulipa kodi au kulipa finyu sana kwenye biashara zake akitumia mgongo wa uenyekt CCM Mkoa
Alipoingia Jpm aliweka clear kabisa ktk kikao na watendaji wa juu wa Chama na viongozi wa mkoa kwamba ktk Serikali yake anataka kila mwananchi mfanyabiashara alipe kodi uwe ni mwanaCCM, Chadema, Cuf, Act au usiye na chama LIPA KODI kwa maendeleo ya Taifa, sasa wako kina Diallo wakajua 'business as usual' ila spana ilipozidi kukazwa ndio wakaanza kumchukia JPM
Jpm aliposhika madaraka ya Chama kakuta baadhi ya viongozi wa chama wamegeuza miradi mbalimbali ya chama kama mali zao, wamehujumu mali za chama, mapato ya chama nk. Sasa alipoanza kulala nao mbele ndio baadhi waliozoea dhulma wakaanza kujenga chuki kama hawa kina Diallo