Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi mkuu 2025 kufanyika.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na vijana wa kata ya Migoli, wilaya ya Iringa, katika ziara ya kamati ya utekelezaji UVCCM tarehe 24 Aprili 2025,, Chulla amesisitiza kuwa uchaguzi uko palepale na kuwa watanzania wanapaswa kujiandaa kushiriki kikamilifu kwa amani, bila kuyumbishwa na propaganda zisizo na msingi.