Vyombo vya dola vinajua kinachofanyika na vyenyewe ni sehem ya mpangokazi!
Vingekua sio sehem ya mpangokazi huo hadi leo wangeshakamata wahusika wa hizo operation!
Kifupi ninkwamba makamanda wa polisi wote wanajua Nini kinaendelea na inawezekana na Mama anajua lakini hana la kufanya coz hawezi kuingilia mambo ya usalama wa nchi,kwenye maswala ya usalama yeye huongozwa tu!