Elections 2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE


Hivi ccm kwa makamasi haya ya kuchakachua ya wenzao wanadhani tutawapa kura waendelee kula? Badala ya kutusi na kudhihaki wangeelezea walifanya nini miaka mitano iliyopita na wanalenga kufanya nini.

Kumtusi Lowassa ni kumjenga na kumpigia debe la shoka. Jifunzeni kwake. Yeye hahitaji ccm anaiongelea kesho yetu.

Go Lowassa to State House as you can count on my vote!
 
LOWASA atawanyima usingizi mwaka huu, kwani nyie UVCCM nani aliwaomba muangalie/muhudhurie mkutano wa UKAWA? huu si ndo kwetu tunaitaga UMBEA?😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:😛ray2:
 

Hawa ndyo wakina nani katka taifa hili, waende wakamsaidie magufuli wao hko sio kulialia hapa...
 
UVCCMAGUFULI nao wana msongo wa mawazo.
Chama chao kimekumbwa na musiba mzito hivyo kila mtu analia kwa style yake.
 
Sasa kama Lowasa ameshindwa si ndio ingekuwa furaha kwenu? Mbona mnapata kichefuchefu kwa mimba zisizowahusu?
 
Tulieni UVCCM,mtashangaa sana mwaka huu......matokeo hayatacheleweshwa,tuko na master of the political game LOWASA
 
Mnapishana tuu na mwenzio Juliana Shonza kuzungumzia habari za Lowassa. huyu akienda kulala shift anakamata mwingine, vivyo hivyo akiamka na mwingine kulala. Mwaka huu mtavua nguo hadharani
 
Last edited by a moderator:

Mbona mnapoteza Muda na matamko twende kwa wananchi tuwaulize kwa nini wanaichukia ccm tuache kupambana na Lowasa. Kwa hali ilivyo kuna watu ambao wanaichukia ccm kiasi kwamba hata ukisimamisha jiwe na ccm wataipa kura jiwe.tusipoteze muda na matamko.
 
Hawapaswi kuitwa vijana labda 'watoto' wa chama!! sasa taarifa ya nini kwenye mkutano wa mwenzenu?
 
Ninacho wasifu UVCCM wako bize kufuatilia hatua zote za mtu anayepewa nafasi kubwa ya kuwa rais.

Wanafuatilia ziara za Lowassa zaidi kuliko za mgombea wao safi sana,

Tunasubiri tathmini yenu ya mkutano wa Iringa leo.
 
Mazuri yote chukueni, uchafu wote,mabaya yote na sifa zote mbaya mpeni Lowassa tarehe 25 Lowassa ndiye Rais wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…