Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Umekuwa ni kama muendelezo wa maneno yasiyofaa kutoka kwa viongozi wa uvccm kwenda kwa wapinzani.
Ni kweli chama chochote like kilichopo madarakani kinahitaji kuendelea kubakia madarakani mile.
Lkn kulingana na wakati tulionao kwa sasa ambapo Hali ya utangamano wetu kama wana wa Tanzania siyo mzuri, hali iliyo sababisha hata mkuu wa Familia yetu kuhitaji maridhiano ili kurudisha nchi kwenye hali tulivu.
Ebu msikilizeni huyu bwana wa uvccm anavyo endeleza Na kujieleza chumvi kwenye kidonda.