Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma.

UJUMBE HUU HAPA:
Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua.

Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya Kalya, 141km, kutoka kituoni kwangu kufanya upasuaji wa mama mjamzito. Nikirekodi ili Serikali iweze kutuangalia kwa upekee.

Hapa ni Kigoma Wilaya ya Uvinza, Kata ya Buhingu.

Ni barabara inayotoka Buhingu kwenda Kalya.

 
Back
Top Bottom