Uvumbuzi wa Dark Oxygen

Uvumbuzi wa Dark Oxygen

dosho12

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
596
Reaction score
1,475
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa oxygen na glucose, kiufupi nature hutumia mwanga kama mafuta kwa ajili ya kuzalisha hewa ya oxygen tunayovuta na maisha yanazidi kusonga hapa duniani,

Exploration iliyofanyika kwenye maeneo yaitwayo clarion clippertone zone ambapo makampuni ya uchimbaji madini chini ya bahari hutafuta rasilimali metali kama Cobalt na Nickel wamegundua vinundu vya ferromanganese vikiwa vimekaa chini ya bahari sehemu ambapo hata mwanga wa jua haufiki.
Screenshot_20250210-093940_1.jpg

Vinundu vya ferrromanganes ni kama mawe ya hazina yaliyotulia chini ya bahari yakibeba metali kama Iron na Manganese. Inasemekana Vinundu hivyo vimetengenezwa taratibu miaka million iliyopita kama madini. chukulia Kama vile vitungua vya kwenye maji ambapo kila layer huongeza madini zaidi na kutengeneza vitu vyenye umbo la duara.
Reseachers wanasema vinundu hivyo vinaweza kutengeneza Electric charges ambazo huchocheza electrolysis, hutengeneza hydrogen na oxygen

Inasemekana hali hii hutengeneza energy ya kutosha kuweza kutenganisha molucules za maji na kuwa oxygen na hydrogen ikiwa ni chini ya bahari mahali ambapo hata mwanga wa jua haufiki ili kusaidia mfumo wa photosynthesis. Kutokana na hali hiyo wana sayansi ikabidi waipe jina la dark oxygen.

Hali hii inaipa challenge uelewa wa zamani ya kuwa oxygen yote kwenye dunia huzalishwa kupitia mfumo wa photosynthesis kupitia kwenye mimea kama algae.
 
Kadri ninavyosoma ndio ninavyopata uthibitisho wa nguvu asilia(mungu) hivi vitu siamini kama vimetokea kwa bahati mbaya, vilipangwa vikapangika kwa utaalamu wa hali ya juu mnoo.
Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.

You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
 
Asante kwa challenge hio, ni kuzidi kudhibisha kadri mwanadamu anavyo endele kuishi kwenye dunia hii ndivyo anavyo gundua vingi ambavyo havikuwahi kugundulika hapo kabla.

Na ndio kusema dunia na ulimwengu kwa ujumla wake bado ni kubwa mno kulingana na upeo wa mwanadamu.

Ni bahati mbaya mwanadamu ameelekeza nguvu sehemu nyingine zisizo na tija kwa ushawishi wa wanasiasa kama vile vita na migogoro ya hapa na pale, lau kama nguvu ingeelekezwa kwenye tafiti huwenda tungekuwa tumegundua mengi sana yenye faida kwa maisha na maisha yangekuwa bora sana.
 
Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.

You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
Energy imetokea wapi mkuu!?
Hata ukisema huyo mungu anamuanzilishi wake, lazima tu huu mtiririko utafikia kwemye superior, the most completed. Hili halikwepeki, yupo huyo mwamba.
 
dah mkuu una detector ya kuangalia ni jukwaa gani wanasema mungu yupo maana huwa unafika mapema mno pahali ambapo kutakuwa na statement ya kuwa Mungu yupo😆😆😆 aya bwana ila usimlete na kiranga humu 😁😊😁
 
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa oxygen na glucose, kiufupi nature hutumia mwanga kama mafuta kwa ajili ya kuzalisha hewa ya oxygen tunayovuta na maisha yanazidi kusonga hapa duniani,

Exploration iliyofanyika kwenye maeneo yaitwayo clarion clippertone zone ambapo makampuni ya uchimbaji madini chini ya bahari hutafuta rasilimali metali kama Cobalt na Nickel wamegundua vinundu vya ferromanganese vikiwa vimekaa chini ya bahari sehemu ambapo hata mwanga wa jua haufiki.
View attachment 3231759
Vinundu vya ferrromanganes ni kama mawe ya hazina yaliyotulia chini ya bahari yakibeba metali kama Iron na Manganese. Inasemekana Vinundu hivyo vimetengenezwa taratibu miaka million iliyopita kama madini. chukulia Kama vile vitungua vya kwenye maji ambapo kila layer huongeza madini zaidi na kutengeneza vitu vyenye umbo la duara.
Reseachers wanasema vinundu hivyo vinaweza kutengeneza Electric charges ambazo huchocheza electrolysis, hutengeneza hydrogen na oxygen

Inasemekana hali hii hutengeneza energy ya kutosha kuweza kutenganisha molucules za maji na kuwa oxygen na hydrogen ikiwa ni chini ya bahari mahali ambapo hata mwanga wa jua haufiki ili kusaidia mfumo wa photosynthesis. Kutokana na hali hiyo wana sayansi ikabidi waipe jina la dark oxygen.

Hali hii inaipa challenge uelewa wa zamani ya kuwa oxygen yote kwenye dunia huzalishwa kupitia mfumo wa photosynthesis kupitia kwenye mimea kama algae.
Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.

Hata kwa vitu ambavyo tayari tumevijua, Haimaanishi kwamba tumevijua kwa asilimia mia(100%). Kwamba ndio vina ukweli kamili.

Kwa hiyo kujua kwamba oxygen huzalishwa kwa photosynthesis pekee, ilikuwa ni kwa mujibu wa utafiti wa muda tu.

Sio kwamba ndio uhalisia wa muda wote kwamba oxygen hutegemea photosynthesis pekee.

Kuna vitu vingi sana ambavyo tumevijua, Lakini bado hatujavijua kwa undani zaidi.

Hivyo hatuwezi kuhitimisha moja kwa moja kwamba nadharia fulani kuhusu kitu fulani ina ukweli daima.

Changes can occur anytime.
 
Energy imetokea wapi mkuu!?
Kwa nini unadhani kila kitu lazima kiwe kimetoka sehemu fulani?

Kwa nini unadhani energy imetokea sehemu fulani?

Kwa nini hudhani energy ipo tu yenyewe, pasipo kutokea mahali fulani?

Kama energy imetokea sehemu fulani, Je hiyo sehemu inapotokea energy na yenyewe imetokea wapi?
Hata ukisema huyo mungu anamuanzilishi wake, lazima tu huu mtiririko utafikia kwemye superior, the most completed. Hili halikwepeki, yupo huyo mwamba.
Superior inaweza kuwa ulimwengu wenyewe.

Sio lazima awe Mungu.
 
Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Hii kwamba atokee tu,atokee kutoka wapi ?
Huko ambako alikuwepo kabla ya kutokea maana yake si alikuwa yupo huko,sasa maana yake si alikuepo bado ?
Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya,
Mungu alikuwepo kabla ya kutokea,maana kabla ya kutokea maana yake kuna sehemu alikuepo.
You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii
Kuna ile logic ya kuwa energy can neither be created no destroyed,hii logic inasapoti kabila umilele wa Mungu tangu na tangu.

hivyo kuna maeneo hatuwezi kuweka conclusio ya vitu viwili kwa kutumia logic moja.

logic ya vitu kuumbwa na mungu hatuweI kuitumia kusema kwamba Mungu naye ameumbwa.
 
Hii kwamba atokee tu,atokee kutoka wapi ?
Huko ambako alikuwepo kabla ya kutokea maana yake si alikuwa yupo huko,sasa maana yake si alikuepo bado ?
Hata ulimwengu upo wenyewe tu.

Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani, Hata huyo muumbaji na hiyo sehemu fulani lazima viwe vimeumbwa na kutokea sehemu nyingine fulani.

Unless otherwise, Hakuna muumbaji wala hiyo sehemu fulani.
Mungu alikuwepo kabla ya kutokea,maana kabla ya kutokea maana yake kuna sehemu alikuepo.

Kuna ile logic ya kuwa energy can neither be created no destroyed,hii logic inasapoti kabila umilele wa Mungu tangu na tangu.
Energy sio Mungu.

Kuhusisha energy na Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
 
Sisi binadamu tumekuwa bind na knowledge tuliyonayo. Ni kama vile ni ngumu ku imagine sehemu ambayo dimension yake hakuna juu bali ni chini tu
 
Hata ulimwengu upo wenyewe tu.
Mimi sina tatizo na usemi huu hata kidogo(haina maana nauamini).
Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.
kama ambavyo ulimwengu haikuumbwa na yeyoye yule basi ujue na Mungu naye hakuumbwa na yeyote yule,yupo tu.

hapo nadhani tunaenda pamoja kwa kutumia logic hiyo.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani
Hii ni kanuni ya sisi tunaomkubali Mungu,kama unaitaja kanuni hii basi ibadi uwe Muadilifu wa kuitaja kanuni yoote kwa ujumla ambayo inasema "Kila kitu kimeumbwa na Mungu isipokuwa Mungu mwenyewe"

au "Mungu kaumba kila kitu,kwa maana hiyo Mungu sio katika vitu vilivyoumbwa.

ili tuone udhaifu wa kanuni yetu hii,basi ni lazima uitaje kanuni yetu yooote alafu kutokea kwenye uwote wa kanuni hiyo ndio uanze kuonesha udhaifu wa kanuni hiyo.

Usichukue nusu kanuni alafu ukaanza kuitia madhaifu,imalize kanuni mkuu alafu uanze kuomesha udhaifu.

Kauni yetu tunasema "KILA KITU KIMEUMBWA NA MUNGU,ISIPOKUWA MUNGU(hajaumbwa)".

Anzia hapo kuonesha udhaifu.
Energy sio Mungu.
😀😀 energy sio Mungu,je maana yake unatuambia kwamba logic ya energy itumike kwenye energy na sio tuitumie kuthibitisha vitu vingine.

Basi hali kadhalika, tusiitumie kwa Mungu ile logic ya vitu vingine kuumbwa,kwa sababu logic hiyo haimhusu Mungu bali imavihusu vitu vingine kama ambavyo logic ya wnegry inamhusu energy peke yake.

ukitumia logic ya vitu vingine kuumbwa basi na mimi natumia logic ya energy.

kama unanikataza kutumia logic ya energy kwa Mungu,basi na wewe umeshajikataza kutumia logic ya "vitu vingine kuumbwa na mUngu"
 
Sisi binadamu tumekuwa bind na knowledge tuliyonayo. Ni kama vile ni ngumu ku imagine sehemu ambayo dimension yake hakuna juu bali ni chini tu
Yes mkuu.

Kama knowledge zetu zinashindwa kuchimba baadhi ya mambo basi kuna mambo inabidi tuyakubali hata kama hatuna majibu ya kutosha.

Mfano.

Hatuna majibu ya kutosha kuhusu namna gani ulimwengu ulitokea,lakini lazima tukubali kwamba ulimwengu upo.
 
Mimi sina tatizo na usemi huu hata kidogo(haina maana nauamini).

kama ambavyo ulimwengu haikuumbwa na yeyoye yule basi ujue na Mungu naye hakuumbwa na yeyote yule,yupo tu.

hapo nadhani tunaenda pamoja kwa kutumia logic hiyo.
Ulimwengu upo na unathibitishika upo.

Kwanza thibitisha uwepo wa Mungu kabla ya kusema yupo.

Ulimwengu tayari upo.

Thibitisha Mungu yupo
.
Hii ni kanuni ya sisi tunaomkubali Mungu,kama unaitaja kanuni hii basi ibadi uwe Muadilifu wa kuitaja kanuni yoote kwa ujumla ambayo inasema "Kila kitu kimeumbwa na Mungu isipokuwa Mungu mwenyewe"
Kanuni hii ni kanuni uchwara.

Kanuni hii inataka kufosi Mungu aonekane yupo bila kujua chanzo cha uwepo wa huyo Mungu.

Hivyo hii kanuni yako ni Batili.
au "Mungu kaumba kila kitu,kwa maana hiyo Mungu sio katika vitu vilivyoumbwa.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
ili tuone udhaifu wa kanuni yetu hii,basi ni lazima uitaje kanuni yetu yooote alafu kutokea kwenye uwote wa kanuni hiyo ndio uanze kuonesha udhaifu wa kanuni hiyo.
Udhaifu wa hii kanuni yako, unaanza kwa kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Kanuni yako hii inarukia moja kwa moja kusema kuna Mungu, Bila kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu au pasipo kuthibitisha kwanza Mungu yupo.

Kwanza thibitisha Mungu yupo.

Usirukie kusema Mungu yupo, Au kusema Mungu kaumba hiki au kile bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
Usichukue nusu kanuni alafu ukaanza kuitia madhaifu,imalize kanuni mkuu alafu uanze kuomesha udhaifu.
Na wewe anza kwanza kwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Sio kufosi na kulazimisha kwamba ulimwengu uliumbwa na huyo Mungu wako.
Kauni yetu tunasema "KILA KITU KIMEUMBWA NA MUNGU,ISIPOKUWA MUNGU(hajaumbwa)".

Anzia hapo kuonesha udhaifu.
Udhaifu unaanza kwa kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
😀😀 energy sio Mungu,je maana yake unatuambia kwamba logic ya energy itumike kwenye energy na sio tuitumie kuthibitisha vitu vingine.
Sikusema Energy na vitu vingine havihusiani

Nilisema very specific Energy na Mungu havihusiani.

Kwa hiyo hakuna uhusiano wowote ule wa Energy na Mungu.
Basi hali kadhalika, tusiitumie kwa Mungu ile logic ya vitu vingine kuumbwa,kwa sababu logic hiyo haimhusu Mungu bali imavihusu vitu vingine kama ambavyo logic ya wnegry inamhusu energy peke yake.
Kila kitu ni energy.

Energy Haiumbwi bali ina transform from one form to another.

ukitumia logic ya vitu vingine kuumbwa basi na mimi natumia logic ya energy.

kama unanikataza kutumia logic ya energy kwa Mungu,basi na wewe umeshajikataza kutumia logic ya "vitu vingine kuumbwa na mUngu"
Kila kitu ni energy.

Huyo Mungu ni dhana uchwara tu.
 
Hata ulimwengu upo wenyewe tu.

Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani, Hata huyo muumbaji na hiyo sehemu fulani lazima viwe vimeumbwa na kutokea sehemu nyingine fulani.

Unless otherwise, Hakuna muumbaji wala hiyo sehemu fulani.

Energy sio Mungu.

Kuhusisha energy na Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Jambo likishafikirika lipo. Imagination ni sehemu ya ulimwengu.
 
Kama jambo likishafikirika lipo, Kwa hiyo nikisha fikiria uwepo wa Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao, Automatically wanakuwa tayari wapo?

Au nikifikiria uwepo wa Vibwengo, automatically wanakuwepo kwa vile nimefikiri tu?
 
Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.

Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.

You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
Something went wrong in your head
 
Hata ulimwengu upo wenyewe tu.

Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.

Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani, Hata huyo muumbaji na hiyo sehemu fulani lazima viwe vimeumbwa na kutokea sehemu nyingine fulani.

Unless otherwise, Hakuna muumbaji wala hiyo sehemu fulani.

Energy sio Mungu.

Kuhusisha energy na Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Watu kama hawa ndo wanaongoza kulia na kusaga meno motoni huku wakiomba warudishwe duniani japo sekunde 10
 
Back
Top Bottom