dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa oxygen na glucose, kiufupi nature hutumia mwanga kama mafuta kwa ajili ya kuzalisha hewa ya oxygen tunayovuta na maisha yanazidi kusonga hapa duniani,
Exploration iliyofanyika kwenye maeneo yaitwayo clarion clippertone zone ambapo makampuni ya uchimbaji madini chini ya bahari hutafuta rasilimali metali kama Cobalt na Nickel wamegundua vinundu vya ferromanganese vikiwa vimekaa chini ya bahari sehemu ambapo hata mwanga wa jua haufiki.
Vinundu vya ferrromanganes ni kama mawe ya hazina yaliyotulia chini ya bahari yakibeba metali kama Iron na Manganese. Inasemekana Vinundu hivyo vimetengenezwa taratibu miaka million iliyopita kama madini. chukulia Kama vile vitungua vya kwenye maji ambapo kila layer huongeza madini zaidi na kutengeneza vitu vyenye umbo la duara.
Reseachers wanasema vinundu hivyo vinaweza kutengeneza Electric charges ambazo huchocheza electrolysis, hutengeneza hydrogen na oxygen
Inasemekana hali hii hutengeneza energy ya kutosha kuweza kutenganisha molucules za maji na kuwa oxygen na hydrogen ikiwa ni chini ya bahari mahali ambapo hata mwanga wa jua haufiki ili kusaidia mfumo wa photosynthesis. Kutokana na hali hiyo wana sayansi ikabidi waipe jina la dark oxygen.
Hali hii inaipa challenge uelewa wa zamani ya kuwa oxygen yote kwenye dunia huzalishwa kupitia mfumo wa photosynthesis kupitia kwenye mimea kama algae.