Uvumbuzi wa Dark Oxygen

Uvumbuzi wa Dark Oxygen

Kama jambo likishafikirika lipo, Kwa hiyo nikisha fikiria uwepo wa Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao, Automatically wanakuwa tayari wapo?

Au nikifikiria uwepo wa Vibwengo, automatically wanakuwepo kwa vile nimefikiri tu?
Ndio, wapo kwenye ulimwengu wa fikra zako ndo maana umewatambulisha kwa majina na ukawaeleza wanavyofanana.

Dunia ina mambo mengi mno ambayo hatuyajua kabla ila yalikuwepo kwenye ulimwengu wa fikra na sasa yanaonekana.

NB: Ulimwengu wa fikra una matokeo mpaka kwenye ulimwengu huu wa macho ya nyama na makalio na masikio.
 
Akili ya binadamu ni kama vile dumu kubwa lilowekwa kete tofauti tofauti za umuhinu na zisizo na umuhimu , haijalishi ni kete gani utaitoa kwenye dumu ila tayari ilishakuwepo kwenye dumu, hivyo kila wazo/fikra tuliyonayo tayari tulishapewa kazi inakuja ni fikra/ wazo gani tunazitoa kuchwani kuna zenye manufaa kwetu na zlle ambazo hazina manufaa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndivyo ilivyo, unapozidi kwenda mbele ndivyo unapokuja gundua baadhi ya dhana zinahitaji maboresho.
 
Akili ya binadamu ni kama vile dumu kubwa lilowekwa kete tofauti tofauti za umuhinu na zisizo na umuhimu , haijalishi ni kete gani utaitoa kwenye dumu ila tayari ilishakuwepo kwenye dumu, hivyo kila wazo/fikra tuliyonayo tayari tulishapewa kazi inakuja ni fikra/ wazo gani tunazitoa kuchwani kuna zenye manufaa kwetu na zlle ambazo hazina manufaa
Mkuu, ulimwengu wa fikra hatuujui. Hatuna control ya maisha ya kifikra,
Huenda kila kitu kinachofikirika kipo somehow, somewhere, someplace. As long as umeweza kuelezea jambo lako la kufikirika, na ukalipa taswira na likajadilika, tayari linaexist.
 
Ndio, wapo kwenye ulimwengu wa fikra zako ndo maana umewatambulisha kwa majina na ukawaeleza wanavyofanana.

Dunia ina mambo mengi mno ambayo hatuyajua kabla ila yalikuwepo kwenye ulimwengu wa fikra na sasa yanaonekana.

NB: Ulimwengu wa fikra una matokeo mpaka kwenye ulimwengu huu wa macho ya nyama na makalio na masikio.
Hata huyo Mungu yupo kwenye ulimwengu wa fikra tu.

Hayupo katika uhalisia.
 
Watu kama hawa ndo wanaongoza kulia na kusaga meno motoni huku wakiomba warudishwe duniani japo sekunde 10
Ndivyo ulivyo pumbazwa na kuaminishwa na dini yako?

Ulishaenda huko motoni ukapaona?

Au unaeneza vitisho uchwara ulivyopumbazwa na imani yako.

Hakuna motoni.

Hakuna mbinguni.
 
Sio kwamba akili zako ndo za kufikirika?
Akili zangu si za kufikirika.

Ndio maana nazitumia hapa kujenga hoja.

Huyo Mungu ndio wa kufikirika, Ndio maana hawezi kujitetea, kujidhihirisha na kujieleza mwenyewe kwamba yupo.

Ni nyie tu mnahangaika kumwelezea na kumtetea huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu asiyeweza kujidhihirisha mwenyewe.

Huyo Mungu kama yupo aje ajitetee mwenyewe kama ana huo uwezo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe uwepo wake.

Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea uwepo wake.
 
Uhalisia ni uwepo wa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Tofauti na hapo ni imaginations tu just an illusion.
Hili la dark oxygen halikuwa halisi kabla halijathibitishwa na binadamu? Yale yale ya mzungu kugundua mlima. Jambo kama lipo haliitaji uthibitisho wa binadamu ndo liwepo. Na tafsiri ya uwepo haifungwi kwenye ulimwengu wa macho ya nyama tu.
 
Hili la dark oxygen halikuwa halisi kabla halijathibitishwa na binadamu?
Sikusema kwamba dark oxygen haikuwa halisi.

Nilisema na ninasema Mungu si halisi. Mungu ni dhana ya kufikirika tu isiyo na uthibitisho.

Mwanzoni hatukujua kwamba dark oxygen ipo, ila sasa tumejua dark oxygen ipo na tumepata uthibitisho.

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.

Ila ukisema unajua Mungu yupo, Halafu ukiulizwa ulijuaje Mungu huyo yupo na unathibitishaje yupo. Hujui.

Hapo sasa utakuwa unadanganya.
Yale yale ya mzungu kugundua mlima. Jambo kama lipo haliitaji uthibitisho wa binadamu ndo liwepo. Na tafsiri ya uwepo haifungwi kwenye ulimwengu wa macho ya nyama tu.
Kama kuwepo jambo hakuhitaji uthibitisho, Sasa tutahakikisha vipi jambo fulani ni la kweli?

Na je tutajuaje jambo fulani si la kweli?
 
Sikusema kwamba dark oxygen haikuwa halisi.
Umesema halisi inahitaji kuthibitishwa ili iwe halisi.
Nilisema na ninasema Mungu si halisi. Mungu ni dhana ya kufikirika tu isiyo na uthibitisho.
Swali ndo likaja, jambo lisilo na uthibitisho kwa binadamu linafanya hilo jambo lisiwepo?
Mwanzoni hatukujua kwamba dark oxygen ipo, ila sasa tumejua dark oxygen ipo na tumepata uthibitisho.
Isingethibitishwa ingekuwa si halisi? Angetokea mtu kabla kwa nadharia zake zisizo za kisayansi akasema anafikiri kuna dark oxygen, dark oxygen isingekuwepo sababu haikuthibitishwa?
Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.
Mkuu, Kutokujua vilivyopo hakufuti uwepo wa vilivyopo.
Hapo sasa utakuwa unadanganya.

Kama kuwepo jambo hakuhitaji uthibitisho, Sasa tutahakikisha vipi jambo fulani ni la kweli?

Na je tutajuaje jambo fulani si la kweli?
Ukweli au uongo si kipimo cha uhalisia. Ni kujipa uspecial tu kwa binadamu. Kama jambo lipo, nguvu iliyoifanya hilo jambo liwepo haijali kuwa binadamu unadhani ni kweli au la.
 
Umesema halisi inahitaji kuthibitishwa ili iwe halisi.
Ndio.
Swali ndo likaja, jambo lisilo na uthibitisho kwa binadamu linafanya hilo jambo lisiwepo?
Hapana.

Jambo linaweza kuwepo lakini kama halina uthibitisho basi si jambo halisi.

Ni jambo la kufikirika.
Isingethibitishwa ingekuwa si halisi?
Ndio sio halisi.

Mpaka lithibitishwe ndio linakuwa halisi.

Kama bado halijathibitishwa si halisi.
Angetokea mtu kabla kwa nadharia zake zisizo za kisayansi akasema anafikiri kuna dark oxygen, dark oxygen isingekuwepo sababu haikuthibitishwa?
Dark oxygen ingekuwepo ila isingekuwa na uhalisia wa uwepo wake.

Ingekua ni jambo la kufikirika tu.

Ila kwa vile uthibitisho upo na umepatikana, Basi dark oxygen ni halisi si jambo la kufikirika tena.
Mkuu, Kutokujua vilivyopo hakufuti uwepo wa vilivyopo.
Ni kweli.

Lakini Mungu hayupo.
Ukweli au uongo si kipimo cha uhalisia. Ni kujipa uspecial tu kwa binadamu. Kama jambo lipo, nguvu iliyoifanya hilo jambo liwepo haijali kuwa binadamu unadhani ni kweli au la.
Hata uongo unaweza kuwepo vilevile.

Lakini kutofautisha uongo na ukweli lazima uthibitisho na uhalisia uonekane.

Ukweli na uthibitisho ndio kipimo cha uhalisia.

Vinginevyo ni uongo.
 
Sasa hapo source of power kama umeme hutoka wapi kwa ajili ya kutengeneza oxygen maana electrolysis inahitaji power?
 
Sasa hapo source of power kama umeme hutoka wapi kwa ajili ya kutengeneza oxygen maana electrolysis inahitaji power?
Nahisi contact ya sea water ( water + sodium chloride ) na hivyo vinundu sababu ni vina metal ions na ions zinaweza kubeba electrical charges pia gamba lake la nje na ferromanganese inayoweza kuact kama conductor
 
Back
Top Bottom