Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sio kwamba akili zako ndo za kufikirika?Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba akili zako ndo za kufikirika?Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Ndio, wapo kwenye ulimwengu wa fikra zako ndo maana umewatambulisha kwa majina na ukawaeleza wanavyofanana.Kama jambo likishafikirika lipo, Kwa hiyo nikisha fikiria uwepo wa Dragons 🐉 watemao moto midomoni mwao, Automatically wanakuwa tayari wapo?
Au nikifikiria uwepo wa Vibwengo, automatically wanakuwepo kwa vile nimefikiri tu?
Akili ya binadamu ni kama vile dumu kubwa lilowekwa kete tofauti tofauti za umuhinu na zisizo na umuhimu , haijalishi ni kete gani utaitoa kwenye dumu ila tayari ilishakuwepo kwenye dumu, hivyo kila wazo/fikra tuliyonayo tayari tulishapewa kazi inakuja ni fikra/ wazo gani tunazitoa kuchwani kuna zenye manufaa kwetu na zlle ambazo hazina manufaaNdio, wapo kwenye ulimwengu wa fikra zako ndo maana umewatambulisha kwa majina na ukawaeleza wanavyofanana.
Dunia ina mambo mengi mno ambayo hatuyajua kabla ila yalikuwepo kwenye ulimwengu wa fikra na sasa yanaonekana.
NB: Ulimwengu wa fikra una matokeo mpaka kwenye ulimwengu huu wa macho ya nyama na makalio na masikio.
Mkuu, ulimwengu wa fikra hatuujui. Hatuna control ya maisha ya kifikra,Akili ya binadamu ni kama vile dumu kubwa lilowekwa kete tofauti tofauti za umuhinu na zisizo na umuhimu , haijalishi ni kete gani utaitoa kwenye dumu ila tayari ilishakuwepo kwenye dumu, hivyo kila wazo/fikra tuliyonayo tayari tulishapewa kazi inakuja ni fikra/ wazo gani tunazitoa kuchwani kuna zenye manufaa kwetu na zlle ambazo hazina manufaa
Hata huyo Mungu yupo kwenye ulimwengu wa fikra tu.Ndio, wapo kwenye ulimwengu wa fikra zako ndo maana umewatambulisha kwa majina na ukawaeleza wanavyofanana.
Dunia ina mambo mengi mno ambayo hatuyajua kabla ila yalikuwepo kwenye ulimwengu wa fikra na sasa yanaonekana.
NB: Ulimwengu wa fikra una matokeo mpaka kwenye ulimwengu huu wa macho ya nyama na makalio na masikio.
Ndivyo ulivyo pumbazwa na kuaminishwa na dini yako?Watu kama hawa ndo wanaongoza kulia na kusaga meno motoni huku wakiomba warudishwe duniani japo sekunde 10
Uhalisia ni nini mzee InfropreneurHata Mungu yupo kwenye ulimwengu wa fikra tu.
Hayupo katika uhalisia.
Akili zangu si za kufikirika.Sio kwamba akili zako ndo za kufikirika?
Uhalisia ni uwepo wa uhakika, ushahidi na uthibitisho.Uhalisia ni nini mzee Infropreneur
Tunapenda kujiwekea limit kwenye mambo hatujui. Kwanini fikra si halisi ilihali zipo?
Hili la dark oxygen halikuwa halisi kabla halijathibitishwa na binadamu? Yale yale ya mzungu kugundua mlima. Jambo kama lipo haliitaji uthibitisho wa binadamu ndo liwepo. Na tafsiri ya uwepo haifungwi kwenye ulimwengu wa macho ya nyama tu.Uhalisia ni uwepo wa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Tofauti na hapo ni imaginations tu just an illusion.
Sikusema kwamba dark oxygen haikuwa halisi.Hili la dark oxygen halikuwa halisi kabla halijathibitishwa na binadamu?
Kama kuwepo jambo hakuhitaji uthibitisho, Sasa tutahakikisha vipi jambo fulani ni la kweli?Yale yale ya mzungu kugundua mlima. Jambo kama lipo haliitaji uthibitisho wa binadamu ndo liwepo. Na tafsiri ya uwepo haifungwi kwenye ulimwengu wa macho ya nyama tu.
Umesema halisi inahitaji kuthibitishwa ili iwe halisi.Sikusema kwamba dark oxygen haikuwa halisi.
Swali ndo likaja, jambo lisilo na uthibitisho kwa binadamu linafanya hilo jambo lisiwepo?Nilisema na ninasema Mungu si halisi. Mungu ni dhana ya kufikirika tu isiyo na uthibitisho.
Isingethibitishwa ingekuwa si halisi? Angetokea mtu kabla kwa nadharia zake zisizo za kisayansi akasema anafikiri kuna dark oxygen, dark oxygen isingekuwepo sababu haikuthibitishwa?Mwanzoni hatukujua kwamba dark oxygen ipo, ila sasa tumejua dark oxygen ipo na tumepata uthibitisho.
Mkuu, Kutokujua vilivyopo hakufuti uwepo wa vilivyopo.Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.
Ukweli au uongo si kipimo cha uhalisia. Ni kujipa uspecial tu kwa binadamu. Kama jambo lipo, nguvu iliyoifanya hilo jambo liwepo haijali kuwa binadamu unadhani ni kweli au la.Hapo sasa utakuwa unadanganya.
Kama kuwepo jambo hakuhitaji uthibitisho, Sasa tutahakikisha vipi jambo fulani ni la kweli?
Na je tutajuaje jambo fulani si la kweli?
Ndio.Umesema halisi inahitaji kuthibitishwa ili iwe halisi.
Hapana.Swali ndo likaja, jambo lisilo na uthibitisho kwa binadamu linafanya hilo jambo lisiwepo?
Ndio sio halisi.Isingethibitishwa ingekuwa si halisi?
Dark oxygen ingekuwepo ila isingekuwa na uhalisia wa uwepo wake.Angetokea mtu kabla kwa nadharia zake zisizo za kisayansi akasema anafikiri kuna dark oxygen, dark oxygen isingekuwepo sababu haikuthibitishwa?
Ni kweli.Mkuu, Kutokujua vilivyopo hakufuti uwepo wa vilivyopo.
Hata uongo unaweza kuwepo vilevile.Ukweli au uongo si kipimo cha uhalisia. Ni kujipa uspecial tu kwa binadamu. Kama jambo lipo, nguvu iliyoifanya hilo jambo liwepo haijali kuwa binadamu unadhani ni kweli au la.
Nahisi contact ya sea water ( water + sodium chloride ) na hivyo vinundu sababu ni vina metal ions na ions zinaweza kubeba electrical charges pia gamba lake la nje na ferromanganese inayoweza kuact kama conductorSasa hapo source of power kama umeme hutoka wapi kwa ajili ya kutengeneza oxygen maana electrolysis inahitaji power?