mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nimejiuliza sana na wewe unaweza jiuliza kidogo , unatumia masaa mangapi kufanya kazi, kwa mfano wewe ni mwalimu unatumia muda gani darasani,kusahisha na kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, je kazi unazofanya ni fair utoke asubuhi hadi saa Tisa unusu , nimejitafakari nimegundua per day nafanya kazi saa sita tu ,muda mwingi ni stori.
Nini kimesababisha hili ni replacement of machines, kazi nyingi ambazo nilitakiwa nizifanye kwa muda mwingi zimechukuliwa na machines so najikuta nazifanya kwa muda kidogo, mfano nakumbuka miaka ya 98s hadi kama 2005, mzee wangu alikuwa analima viazi, zana zilikuwa jembe la mkono, guta, mkivuna mnabeba kwenye guta la mbao then zinasombwa hadi gari lilipo, sasa hivi gari inafika shambani, bomba la maji ni la umeme, kumwagilia tutatumia sprikers, so unajikuta unafanya kazi kubwa kwa muda mchache.
Zamani ukipakia viazi lazima usafiri utoke Njombe kwenda Dar sokoni ukasimamie mauzo, so unakuta gunia mia Tano tu mtiti wake huo, sasa hivi the same ardhi gunia hadi 3,000, lakini muda unaotumia ni kidogo sana.
Leo nipo Njombe tena nyumbani viazi vipo sokoni, ni simu tu inatumika, so najiuliza kwa watoto wetu itakuwaje, machines kila siku zinabuniwa na kupunguza muda wa kufanya kazi. Je, tunahitaji kuwa na masaa zaidi ya nane ya kazi ama tupunguze tu na tukipunguza huo muda utatumika kufanya nini?